Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivo ndio ulidanganywa? The only reason you get more RORO ships is because your country allow importation of vehicles of more than 20 yrs old as opposed to Kenya which only allow import of 7 yrs old cars.
Acha ujinga more cars are going to Southern African states the number keeps on increasing day by day. This surge in transit car is attributed to port efficiency and good logistics. Lia utakavyo lakini hiyo ndio main reason
 
Tungekuwa na akili tungeanza kuipanua mdogo mdogo Barabara ya Dar to Tunduma. Miezi sita sita km 50 kwa kuongeza lane mbili kila upande wa Barabara. Mbona Barabara za masaki zimejengwa haraka haraka ndani ya miezi miwili.

Wanaweza Anza na madaraja kwanza maeneo kama ruvu, bwawani nk.
Tunaweza sana kuongeza lane 4 Barabara ikawa Njia sita hadi Tunduma tena kwa pesa za ndani.

Tukianza sasa, mwezi wa sita mwakani Barabara ya Njia sita inakuwa challinze, mwisho wa mwaka mikese. Hivyo hivyo hadi Morogoro

Barabara ikiwa nzr na Pana kutoka Dar hadi Tunduma. Watu wa southern wote watahamia port of Dar es Salaam
Nia haipo kaka, umesau nani aliwa rais wakati wa kuhizinisha ujenzi wa barabara ya Masaki?
 
China signs $1.4bn Tazara railway deal, reviving copperbelt link amid Lobito Corridor rivalry
China signs $1.4bn Tazara railway deal, reviving copperbelt link amid Lobito Corridor rivalry / bne IntelliNews
FacebookTwitterLinkedInTelegramFlipboardFeedly

By bne IntelliNews September 29, 2025
Zambia and Tanzania have signed a $1.4bn agreement with China to modernise the Tanzania–Zambia Railway (Tazara), a strategic line linking the central African copperbelt to the Indian Ocean port of Dar es Salaam, Bloomberg reported on Monday (September 29).

Tazara, stretching 1,860 km, has suffered decades of underinvestment and is operating far below capacity. The project revives infrastructure built with Chinese financing and expertise in the 1970s.

The rehabilitation aims to restore the efficiency of the railway line at a time when copper shipments from Zambia and the Democratic Republic of Congo (DRC) are placing unprecedented pressure on regional transport corridors.

With most ore currently moved by truck, congestion at border posts has become a persistent bottleneck. The upgraded railway is expected to cut transport times and provide a more reliable alternative for exporters moving bulk minerals to port.

The railway project also carries geopolitical weight among a scramble to secure supply chains for critical minerals.

Tazara’s development emerged during a period of resistance to Western influence in Southern Africa, after the US and Russia declined to finance the project, citing economic concerns.

Tazara (Tanzania–Zambia Railway)

Route: Dar es Salaam (Tanzania, Indian Ocean) ↔ Kapiri Mposhi (Zambia, copperbelt)

Length: 1,860 km

Origins: Built 1970–75 with Chinese financing/engineering, $500mn at the time (then China’s largest overseas project).

Current state: Operating far below capacity after decades of underfunding.

Revamp: $1.4bn China–Zambia–Tanzania deal signed September 2025.

Strategic role: Reduces dependence on trucking routes; relieves border congestion; symbol of Sino–African ties.

Tazara is in competition with the US- and EU-backed Lobito Corridor, a $3bn to $4bn rail and port project aimed at channelling copper and cobalt from the same mineral-rich central Africa belt to the Atlantic coast of Angola. For African governments, the rivalry offers potential leverage in negotiating financing, tariffs and service standards.

The Lobito Corridor has gained momentum as Washington and Brussels promote it as a “transparent alternative” to Chinese-backed infrastructure. Centred on Angola’s Lobito Port and the rehabilitated

Benguela Railway, the 1,300 km corridor is already operational to the DRC border, with plans to extend links deeper into the copperbelt. The project is supported by the US, EU, African Development Bank (AfDB) and private operators.

Lobito Corridor

Route: Lobito Port (Angola, Atlantic Ocean) ↔ DRC copperbelt ↔ Zambia (planned extensions).
Length: 1,300+ km (rehabilitated Benguela Railway + new connectors).

Origins: Colonial-era line modernised in 2010s; now centerpiece of US–EU–Angola partnership.

Current state: Operational to Lobito; expansion ongoing to connect Zambia and DRC seamlessly.

Funding: US and EU backing, with World Bank and African Development Bank support.

Strategic role: Diversifies export routes; reduces reliance on east-coast ports; framed as “transparent alternative” to Chinese projects.

 
Acha ujinga more cars are going to Southern African states the number keeps on increasing day by day. This surge in transit car is attributed to port efficiency and good logistics. Lia utakavyo lakini hiyo ndio main reason
Why can't that efficiency translate to overall port performance? Mombasa port is doing triple of what Dar port is doing.
 
So unatuonesha hapa hizo awards au ndio maneno maneno tu as usual!?
1000076589.jpg
 
Hizi Bajaji ni nyingi sana na ni kero kwa kweli! 🚮
HIzo zitapunguwa zenyew tu mabasi yakiwa mengi. Tena wakiweka na mabasi ya VIP tu hakuna kusimamia itakuwa Bomba sana

Bajaji ziliongezeka baada ya Mwendokasi kuwa miyeyusho.

Lakini bajaji hazipaswi kupiga route kwenye Barabara kuu za kuingia Mjini. Ni risk na zinaleta foleni. Maeneo kama Msimbazi bajaji za mbezi zinaleta foleni kweli.
Latra hawajaruhusu. Sema tu wamewanyamazia kisiasa.
 
TZ tunachimba dhahabu tarime, ukanda huo huo uoande wa Mkenya, Migori kuna dhahabu, yaneachia wahuni wanachimba kihuni halafu yanalalamika.

Kenya ina madini kibao, mafita, siyo landlocked (ina bandari), ina game reserves (Amboseli, Masaai Mara, Tsavo, Naifobi National Park), lakininukitakuta yanabonga unaweza kufikiri yanatoka Botswana au Namibia ambako nchi nzima ni jangwa na landlocked.

Na wanasiasa wao wamesha yajulia.
Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chache zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
 
Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chanche zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
Wanavyoizungumzia Kenya utafikiri ni nchi haina kitu, lakini watawala wao wanajitutumua.

Ila imejaa raslimali kibao, mali za wachache.
 
Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chanche zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
The question is, you with all those natural resources, how are you benefiting?

Tanzanians should be the last people to talk on how natural resources help countries juu haiwasaidii hata kidogo. Pesa zote huwa zinaenda Europe, America and the few remaining are eaten by politicians.
 
Back
Top Bottom