chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Wakundustan unawajua unawasikia? 😂😂 Hapo watajifeel proud Trump mentioned their country though as a Shithole
Who told you Kenya haina those awards? Huwa mnafanya as if Tanzania is the only country with the awards.
Hivo ndio ulidanganywa? The only reason you get more RORO ships is because your country allow importation of vehicles of more than 20 yrs old as opposed to Kenya which only allow import of 7 yrs old cars.I think kwenye RoRo Dar port inaongoza Eastern and Southern Africa ships prefer calling at Dar port due to increased efficiency and no waiting time for RoRo vessels.
Hongereni, ila acha kujisifia ki dwimbwi kinachoingia mara 62 kwa MW tunazozalisha Nyerere dam?"Kenya hakuna miradi"
Acha ujinga more cars are going to Southern African states the number keeps on increasing day by day. This surge in transit car is attributed to port efficiency and good logistics. Lia utakavyo lakini hiyo ndio main reasonHivo ndio ulidanganywa? The only reason you get more RORO ships is because your country allow importation of vehicles of more than 20 yrs old as opposed to Kenya which only allow import of 7 yrs old cars.
Who told you Kenya haina those awards? Huwa mnafanya as if Tanzania is the only country with the awards.
Mwaka huu tulibeba nyingi wakaanza kusema tumehonga. 😂😂😂So unatuonesha hapa hizo awards au ndio maneno maneno tu as usual!?
Nia haipo kaka, umesau nani aliwa rais wakati wa kuhizinisha ujenzi wa barabara ya Masaki?Tungekuwa na akili tungeanza kuipanua mdogo mdogo Barabara ya Dar to Tunduma. Miezi sita sita km 50 kwa kuongeza lane mbili kila upande wa Barabara. Mbona Barabara za masaki zimejengwa haraka haraka ndani ya miezi miwili.
Wanaweza Anza na madaraja kwanza maeneo kama ruvu, bwawani nk.
Tunaweza sana kuongeza lane 4 Barabara ikawa Njia sita hadi Tunduma tena kwa pesa za ndani.
Tukianza sasa, mwezi wa sita mwakani Barabara ya Njia sita inakuwa challinze, mwisho wa mwaka mikese. Hivyo hivyo hadi Morogoro
Barabara ikiwa nzr na Pana kutoka Dar hadi Tunduma. Watu wa southern wote watahamia port of Dar es Salaam
Jana maandamano kidogo. Ya kuvunja vioo. Leo Asubuhi wameleta mabasi mapya.
Ndo maana nikawaambia hilo la mabasi ni suala dogo mno. Ni vile tu watu walikuwa wazembe.
Issue ni infrastructure. Na Kenya ni total failing kwa upande huo
View: https://www.facebook.com/share/v/1BLEbwGAtY/
Jana maandamano kidogo. Ya kuvunja vioo. Leo Asubuhi wameleta mabasi mapya.
Ndo maana nikawaambia hilo la mabasi ni suala dogo mno. Ni vile tu watu walikuwa wazembe.
Issue ni infrastructure. Na Kenya ni total failing kwa upande huo
View: https://www.facebook.com/share/v/1BLEbwGAtY/
Why can't that efficiency translate to overall port performance? Mombasa port is doing triple of what Dar port is doing.Acha ujinga more cars are going to Southern African states the number keeps on increasing day by day. This surge in transit car is attributed to port efficiency and good logistics. Lia utakavyo lakini hiyo ndio main reason
So unatuonesha hapa hizo awards au ndio maneno maneno tu as usual!?
HIzo zitapunguwa zenyew tu mabasi yakiwa mengi. Tena wakiweka na mabasi ya VIP tu hakuna kusimamia itakuwa Bomba sanaHizi Bajaji ni nyingi sana na ni kero kwa kweli! 🚮