Hii ndio tunaita "hasty generalization"
Ni aina ya logical fallacy ambapo mtu anajitengenezea general conclusion kutokana na ushahidi mdogo au usio wa kutosha na mara nyingi hutumika tu ili kushinda mabishano.
Ndio unachokifanya hapa ndugu
Teargass
Unafanya
Cherry picking, unachagua fact chache zinazokufaa na kupuuza zingine.
Overgeneralization- unageuza kitu kidogo kuwa general conclusion
Unaelewa jinsi miji ya Tanzania inavyojengwa? Miji yetu sisi huwa huduma zinawekwa mbalimbali, unakuta hospitali inajengwa point X, then uwanja wa mpira unajengwa km 2 kutoka hospitalini, halmashauri ya mkoa inajengwa 3 km kutoka uwanjani, bus station inajengwa 5km kutoka town centre. Na ujenzi wa namna hii ndio unafanya congestion iwe ndogo na kupunguza demand ya flyovers.
Angalia project nyingi za Tanzania upande wa countryside utaelewa style ambayo tunatumia kujenga miji