Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maana FIFA wana uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe. 😂😂😂
Latest Men’s World Ranking.
Hizi zimekuwa updated leo na FIFA.
View attachment 3474823
Yaan wangekuwa wanaongea hivyo basi walau wamezipiga hata timu tatu za Tanzania , yaan wametembezewa kichapo sasa hivi kimyaa mitandaoni wamepoa kama hawapo vile.
Tz huwa tunaadhibu kwa vitendo sio kwa maneno
 
🤭🤭ule mkimbizi wakimkamata ni hapa atalala while he waits to be deported back to yemen🤣😂😂🙌...View attachment 3474141
Before
1758194822251.jpeg

After.
1758194847210.jpeg

1758194928725.jpeg

Mkiambiwa acheni kuokota okota picha hamsikii.
 
Sasa ndo ulipoenda kuokota baadhi ya hizo picha bisha
Mimi sijaleta picha ya mvuti hapa ila najua ipo Dar na ni Kijijini kabisa panalimwa mihogo. Yani Kijijini kabisa na tunaambiwa vile Dar ni kubwa. Ukubwa wa vijiji!
 
Back
Top Bottom