Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwako stats is all about goal attempts. 🤣🤣
Hujui hata mpira.
Statistics za mpira zile critical huangaliwa goal attempts pamoja na pasi zilizofaulilu.
Hiyo ball possessing unaweza ukaipata hata kwa kucheza katika goli lako ama back pass.
Goal attempts inajulisha ni mara ngapi mpinzani wako amefanikiwa kufika langoni kwako.
 
Hao mashabiki wote washalipa wako na tiketi ni subira walikosa kwasababu process yenyewe ipo slow na game ilkua inakaribia. Ndo wafike hapo wamepita check out kadhaa. CAF na FKF wanafaa washughulikie hio issue
ACHA ulongo wewe! How can you justify this in such uncontrollable situation? Mr. critical thinker from Kibera😃😃😃
 
Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.😂😂😂
Vile naona after Chan tunaingia top 100 FIFA rankings.
Huingii tu kirahisi aisee hesabu point.
Je utakua umeongeza point ngapi kutoka sasa ikiangaliwa na aina ya mashindano.
 
Morocco wasenge nao vile vile.
Washapigwa gemu Kenya kashinda hii na Kenya haishuki tena pale juu.
Kenya ishapita robo fainali.
Natabiri hii CHAN inabaki moja kati ya nchi za Afrika mashariki.
Achilieni kundu Sasa.😂😂
Nilisema humu ni ngumu sana Mavumbistan kumkongole Mkenya. Heri aseme opponent ni mdhaifu lakini kusema Kenya ni noma hawezi.😂
Sasa ngojeeni vijana walioenda Spain akina Adrine Kibet waingie National Team ndio mtajua Kenya ni nani.😂😂
 
Back
Top Bottom