Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnajitosheleza kwa umeme au chakula? tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea mbele ili tusipotezeane muda.
Kenya has an installed capacity of 3,300MW of electricity against a peak demand of 2,363MW as of July 2025. So yees, tunajitosheleza kwa umeme bongolala.

Kuhusu chakula, we important the deficit.

Next question bongolala?
 
Ati 42 km highway! Endelea Kuota!
😂😂😂Naoana ukona akili kuliko KENHA, engineers, Google maps na contractors🙌...congratulations kibabu👏👏maji ya chumvi ilishakuadhiri akili hapo tandale😂😂😂😂...
 
Main sponsor wa KPL ashasema more matches should be broadcasted at KBC because Kenyans lack Azam decoders. The writing is on the wall.
View: https://x.com/pepeta_ke/status/1967970553089708080?t=HubXxKTyPrIR0KwR6nvezA&s=19

Mbona kabla ya hapo alipewa mkataba wa free to air akashindwa tangaza hata mechi moja🤣🤣🤣🤣🤣.
Tunasubiri kuona kbc itakapota 1bil ksh kukuza league ya Kenya. Mtahangaika wee ila bado mtarudi kupiga magoti kwa Azam maana hakuna media within east africa Inaweza kufanya live coverage kwa kutumia resources zake ikafanikiwa.
Kbc haina channel special kwa sports while kuna Azam sports1 - 4.
Ila tushawazoea ni wazee wa kelele tu
 
Mrudishieni Azam fedha zake plus damages! La sivyo another FIFA ban is on the cards!
Hawana uwezo huo ,kbc wanayoipigia kelele ishawahi pewa free to air right wakashindwa tangaza hata mechi moja , kbc alipaswa kuwa anatoa 10mil kwa mwaka kwa Kila timu kama mgao wa matangazo akashindwa mwaka wa kwanza tu.
Hata wakisema wavunje mkataba still yet loosers wakubwa ni wao
 
Lazima ashangae kwa mafuta ya alizeti na mawese watatoa wapi wao import tu kwaiyo kazi ya hayo madumu hawezi ijua kamwe
Screenshot_20250917_152942_Chrome.jpg
Screenshot_20250917_152923_Chrome.jpg
Screenshot_20250917_152953_Chrome.jpg
Screenshot_20250916_010640_Chrome.jpg

🤣🤣🤣so haya ni madumu ya mafuta sio!? Watu wangu oneni madumu ya mafuta kule Newyork city with BRT😂😂😂😂🙌...
 
usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.
So kwa akili zako unafikiria hayo ma skyscrapers yanajengwa na serikali pekeyake kama ilivyo huko kwenu? Listen, those are private investments made by private investors we kijana!.mambo yakujenga misingi ni kazi ya serikali kule Kenya sio kama kule Tz ambapo serikali ndio inang'ang'ana kujenga skyscraper....so jiulize kwanini private sector wana invest kujenga nairobi na addis na sio dar ilihali nyie mume invest kwenye agricuture😂😂😂🙌.
 
So kwa akili zako unafikiria hayo ma skyscrapers yanajengwa na serikali pekeyake kama ilivyo huko kwenu? Listen, those are private investments made by private investors we kijana!.mambo yakujenga misingi ni kazi ya serikali kule Kenya sio kama kule Tz ambapo serikali ndio inang'ang'ana kujenga skyscraper....so jiulize kwanini private sector wana invest kujenga nairobi na addis na sio dar ilihali nyie mume invest kwenye agricuture😂😂😂🙌.
I wanted to tell him this nikaona nitapigia mbuzi guitar
 
Back
Top Bottom