Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1758043518666.png
 
What's this supposed to mean? Are you doing exactly what I think you are doing?
Making fun of Mechanical Engineering to silence me?
Kama kweli una degree then wewe ni mzee mwenye akili za kitoto, you are not matured enough.
Kijana, you said you are 19 and you say you're a mechanical engineer? Who are you fooling?
 
Juu mtanzania amepata Gold medal then riadha sio mchezo ya watu maskini Tena? Naona mnaishangilia kweli kweli that one gold medal😂😂
Huwa nakariri humu, ukiona mbongo anaponda jambo, jua tu Mkenya anafanya vyema kwa hilo jambo kumshinda. Ukweli utaujua wakati Mbongo atajitahidi kwa hilo jambo. Juzi nimeona wakisherehekea kujengwa kwa 'skyscraper' ya TRA gorofa 25. Walikuwa washaasahau ule wimbo wao gorofa sii maendeleo. 😂😂😂
 
Kijana, you said you are 19 and you say you're a mechanical engineer? Who are you fooling?
Wewe nae umevamia mada. Nimesema this year naenda kuanza kusoma Bachelor Degree of Mechanical Engineering
Nini kigumu kuelewa hapo? Unataka ni tranlate kwa Kiingereza ama. Are Kenyans always this dumb or it's just you and Teargas
 
Wewe nae umevamia mada. Nimesema this year naenda kuanza kusoma Bachelor Degree of Mechanical Engineering
Nini kigumu kuelewa hapo? Unataka ni tranlate kwa Kiingereza ama. Are Kenyans always this dumb or it's just you and Teargas
I am a civil engineer. Graduated in 2014, doing Masters. Wewe ndio unadream kustudy engineering. Hivi unaona una haki ya kuniita dumb? Unajua naweza kuwa mwalimu wako?
 
Mwalimu wa Civil Engineering anamfundisha vipi mwanafunzi wa Mechanical Engineering?
Ndio maana nimekwambia bado wewe mtoto mdogo uje tukufunze polepole ndio uondoke kwenye dreams uje kwa reality. Nimeambiwa for now wewe ni fundi baiskeli. Wacha nikufundishe kidogo mambo yalivyo chuo Kikuu.

Hapo chuo Kikuu kwa school of engineering Kuna shared units nyingi. Hizi units unapata mhadhiri anayefunza Civil engineering kwa mfano pia atafunza Mechanical ama electrical ama Biosystems n.k. Kwa mfano kama utabahatika kwenda chuo Kikuu kusomea Bachelor of Science in Mechanical Engineering (Note, Bachelor of Science ni tofauti na Bachelor of Engineering) uache ufundi utapatana na somo liitwalo Strength of Materials. Hilo somo wanaosomea engineering zingine kama Civil engineering pia watalifanya na utapata mhadhiri anayewafunza ni yule yule anayefunza wenye wanafanya Civil engineering.

You're welcome.
 
Back
Top Bottom