Jirani abakie na Marathon tuu huko ndiko anapopaweza.
Jirani abakie na Marathon tuu huko ndiko anapopaweza.
huku kwetu mpaka PhDUkiwa na Masters unakuwa na qualifications za kuwa mhadhiri.
How old are you?Lugha ya huyo Demu wa Nairobi aisee!
Clear indication that you don't know what a lecture hall looks like. Leave this conversation for University Graduates.huku kwetu mpaka PhD
Sawa watchmanHatuuzi maji kwenye mkokoteni, hiyo ilikuwa zamani sn since I was child, Tanzania especially Dar hakuna shida ya maji, tulishatoka huko, wauza maji kwa mikokoteni walishatafuta kazi za kufanya, kuna mambo mengi yanaendelea huko kenya kwetu huku hakuna kabisa, ni ajabu kukuta mtu anauza maji mtaani kwa mkokoteni, labda mjini wanauza kwa mkokoteni na maji yenyewe ni yale ya chupa (Uhai, Masafi, Hill etc) msifosi tufanane.
And which country is not building her economic pillars if I may ask?usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.
Utaambiwa ni ya 1999. 🤣 🤣 🤣
Nashangaa mbona member mwenzao wa "COW" anawakimbia!zile kelele za kwamba Rwanda ni trading partner wao zi wapi?
Tanzania iko kimkakati sana huwezi kuitenga, ni kama maji, aidha uyaoge au unywe.Nashangaa mbona member mwenzao wa "COW" anawakimbia!