Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa nakariri humu, ukiona mbongo anaponda jambo, jua tu Mkenya anafanya vyema kwa hilo jambo kumshinda. Ukweli utaujua wakati Mbongo atajitahidi kwa hilo jambo. Juzi nimeona wakisherehekea kujengwa kwa 'skyscraper' ya TRA gorofa 25. Walikuwa washaasahau ule wimbo wao gorofa sii maendeleo. 😂😂😂
Tunaposema kwamba ghorofa sio maendeleo haimaanishi kwamba hatujengi, ila sio kipaumbele kwetu na ndiyo mana unaona tunafanya miradi ya maana, miradi ya kumkomboa common mwananchi from poverty. Tunafanya miradi ambayo uki convert pesa yake unapata vighorofa vyote wanavyojenga foreigners hapo slum city na chenji inabaki, wacheni uzumbukuku nyie malofa.
 
I am a civil engineer. Graduated in 2014, doing Masters. Wewe ndio unadream kustudy engineering. Hivi unaona una haki ya kuniita dumb? Unajua naweza kuwa mwalimu wako?
Duh ume graduate 2014? Na mzee hivyo? Miaka yote ulikuwa unafanya nn? Kwann umechelewa sn kusoma wakati elimu yenu ni fupi (form 4 to university)? Je, u vlogger umeacha?
 
Back
Top Bottom