Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nimekwambia bado wewe mtoto mdogo uje tukufunze polepole ndio uondoke kwenye dreams uje kwa reality. Nimeambiwa for now wewe ni fundi baiskeli. Wacha nikufundishe kidogo mambo yalivyo chuo Kikuu.

Hapo chuo Kikuu kwa school if engineering Kuna shared units nyingi. Hizi units unapata mhadhiri anayefunza Civil engineering kwa mfano pia atafunza Mechanical ama electrical ama Biosystems n.k. Kwa mfano kama utabahatika kwenda chuo Kikuu kusomea Bachelor of Science in Mechanical Engineering (Note, Bachelor of Science ni tofauti na Bachelor of Engineering) uache ufundi utapatana na somo liitwalo Strength of Materials. Hilo somo wanaosomea engineering zingine kama Civil engineering pia watalifanya na utapata mhadhiri anayewafunza ni yule yule anayefunza wenye wanafanya Civil engineering.

You're welcome.
Sawa. Lakini si unaelewa kuwa kusomea Engineering haimaanishi kuwa unaweza kuwa mwalimu. Ualimu sio kwa ajili ya kila mtu. Unaweza ukawa unajua vitu kichwani but the way you present ni tofauti na watu wenye taaluma yao ya ualimu
 
Sawa. Lakini si unaelewa kuwa kusomea Engineering haimaanishi kuwa unaweza kuwa mwalimu. Ualimu sio kwa ajili ya kila mtu. Unaweza ukawa unajua vitu kichwani but the way you present ni tofauti na watu wenye taaluma yao ya ualimu
Ukiwa na Masters unakuwa na qualifications za kuwa mhadhiri.
 
Glad to see my folks holding up against the terror from the southside of the border. My account stopped working. Maybe I got reported by the usual snitches . I am back bi*ches!.. 😎😆… on a positive note, Congrats to Simbu for that monumental achievement. Unfortunately it will be the only medal for Tanzania. Meanwhile, Kenya added 2 more medals today including Gold . 2 or 3 more coming tomorrow via steeple and 1500m. Gold in the steeple guaranteed.
 
View attachment 3473443View attachment 3473444
Jamani please, Kigali punguzeni ushamba😭😭😂😂😂
downloadfile-127.jpg
 
😂😂😂Nairobiwalker, Leo naona hasira za CCM brainless zombies zimewapanda kinoma after kuwa expose .kumbe iliwagusa kwenye ile sehemu...guys prepare yourselves for kibera pictures😂😂😂😂🙌
 

🤣🤣🤣🤣🤣🙌haikosi kuwa ni babu ya magonjwa maukimwi huyu. 🤣🤣 nakufa banaa...
 
Back
Top Bottom