Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
Hao butuabutua jana Simba ilicheza kwa tahadhari kubwa sana wachezaji wasije kuumia itokee tukutane hata kwenye mashindano ya CAF
Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣