hivi Tabora Treni inafika eh? 😎Brother nimekuambia ukitaka tuuharibu uzi huu kwa kuanza kujibishana mambo ya kisiasa, sisi ni wengi sana. But tunapoamua kuweka Ustaarabu wetu usituone sisi wajinga.
Hapa ni Campaign Uyui Leo Tabora
View attachment 3469489
View attachment 3469490