Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyangau kujeni huku muone mnajua maana ya full house? Habari ndio hiyo footballing natuon 62k pax full to the brim
 
Tanzania ndio nchi ya 9 kwa ukubwa duniani kutocheza World cup. Watu 70 million lakini hakuna wachezaji 25 wanaojua mpira 😂
1757523286334.png

1757523347850.png

1757523557176.png

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

In all seriousness you obviously know nothing about football if you think population is what matters.
 
Wanusa gundi si huwa mnasema kwamba mnaziweza timu za Tanzania, ngoja muone leo kitakachowakuta, na itakuwa fundisho. Mana tayari tushanyomba timu zenu bora huko kwenu, tena zimenyombwa na timu dhaifu kabisa za Tz, leo zamu ya Girl Maria, nipo Simba kwa mkopo leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Leo chama langu Simba kwa mkopo namm😂
 
Back
Top Bottom