ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
๐๐๐๐ tanzania imefika sehemu hatukutarajia kufika yani nchi ya democracy mtu anataka kupita kwa mabavu kuanzia kwenye chama chake mpaka kwenye nchi kwa ujumlaIla uzi umepoa sana naoma wengi hawajajua kuwa VPN ndiyo inatumika kuingia jf so sad