Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna time na sisi you say?🤣🤣
Ukiacha raia mtandaoni ambao wameamua kuwajibu baada ya kuwachokoza, hakuna kiongozi anayewapa umuhimu. Nyie huko kwenu kila mtu Tanzania this, Tanzania that, kuanzia Rais wenu mpaka mawaziri na wabunge, wote issue ni Tanzania. Tayari kocha wenu naye kajiingiza kwenye mtego wa taifa lenu, naye badala a focus na timu yake ameanza kuongelea Tanzania, kenya bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mengine Sawa ila kucheza kama mtan mnona wana Yanga mnajipaga sana Ukubwa!!
Mmeenda Rwanda Nn mlikifanya kwa mpira Gani mliocheza kule?
Hiyo Nje ya Ligi yetu iliojaa vitimu vya GSM nje mmefanya nn?
 
Mko masenge nyinyi...

Hamtendi haki hadi muumbuliwe sio?

Namshukuru Siro, maana ingekua sasa hivi madogo wangeozea jela bila kosa.
Sasa hata ukitukana matusi yote. Huwezi kuizuia CCM ushindi wa kishindo. Kwikwikwikwikwi
Utakufa kwa presha tu mdogo wangu. If you can't fight them join them, Tumia kanuni hiyo.

Hapa unashindana na upepo utakufa siku si zako.
 
Mko masenge nyinyi...

Hamtendi haki hadi muumbuliwe sio?

Namshukuru Siro, maana ingekua sasa hivi madogo wangeozea jela bila kosa.
CCM ni dude kuuuuuuuubwa mno. Ubeligiji na Uingereza walijaribu kupambana nalo, walipoteza pesa nyingi mno bila ya ushindi hata chembe ya mchicha. Sasa wewe kajamba nani unataka kupambana na Chama chenye members zaidi ya 13M, Utaweza kweli? kwikwikwikwikwikwi

Only Stupid ndiye anayeweza kujitutumua kijinga hivyo. Watu wakikaa kimya usidhani umewaweza. Wamekupuuza tu maana huna effect yoyote kwenye Society.
 
Sasa hata ukitukana matusi yote. Huwezi kuizuia CCM ushindi wa kishindo. Kwikwikwikwikwi
Utakufa kwa presha tu mdogo wangu. If you can't fight them join them, Tumia kanuni hiyo.

Hapa unashindana na upepo utakufa siku si zako.
Hakuna anayewazuia kushinda, shindeni tu...
 
Mengine Sawa ila kucheza kama mtan mnona wana Yanga mnajipaga sana Ukubwa!!
Mmeenda Rwanda Nn mlikifanya kwa mpira Gani mliocheza kule?
Hiyo Nje ya Ligi yetu iliojaa vitimu vya GSM nje mmefanya nn?
Bro, Rwanda tulibeba kombe usisahau, kama unadhani tulicheza vby basi tarehe 16 sio mbali, tuombe uhai tuu. Mkuu sio kama tunajikweza, mpira unachezwa uwanjani, kwa sasa Yanga ipo juu ya Simba, na kama unabisha hiyo tarehe 16 angalia mpira usiangalie matokeo, mana matokeo sio issue, yeyote anaweza kufungwa japo Yanga huwa anapewa asilimia kubwa ya kushinda, tarehe 16 sio mbali.
 
Moja Ya mambo yaliyo Nifurahisha Jana ni Wanasimba Kugomea Siasa Za kipumbavu .
Watanzania Sio wajinga
Siasa zipo kila sehemu. Kwikwikwikwikwi hapa kwenye jukwaa hili, kwenye Battle ya Dar es salaam vs Nairobi
Tunainadi CCM kisayansi sana, kimataifa. Maana haya yote tunayoyataja ni Mafaniakio ya Kiongozi wetu Mama Samia

CCM Oyee!!
 
IMG_7194.jpeg
IMG_6109.jpeg
IMG20250613083001_BURST001_COVER.jpg
Build,build,build Nairobi!,... coming up is The Western Hights tower. Current Progress is under excavation. 👏👏
 
Anapaswa ku-partner nao na kujenga shipyard Tanzania ku-manufacture catamarans!
kujenga shipyard inahitaji serekali ipunguze baadhi ya kodi ili kuwavutia wawekezaji, lakini kama mambo ya tozo mpaka kwenye miamala ya simu hio sahau mzee tutaishia kupeleka mombasa

acha watu wajilie pesa sisi tuendelee kushangilia na kusifia 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom