Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Screenshot_20250912_060340_WhatsAppBusiness.jpg
 
nikiwa namjibu mwanaume mwenzangu tuliza kipapa anajibiwa mwanaume ajabu unawashwa wewe

hebu nitag sehemu nimeku reply msg yako? mm namjibu mtu mwengine unakuja kunishambulia mm ? vp ?




View attachment 3469731View attachment 3469732
Nimesema nakuheshimu. Usidhani maneno machafu upo nayo wewe tu.
Nimeamua kutuliza hivi. Nikileta fujo hapa uzi huu utafungwa.

Kama unataka kumjibu mtu mmoja mtumie PM. This is a public social media.

Acha ushamba kwikwikwi.
 
Wakati tulikuwa tunawambia hiyo timu ya taifa tunajua madhaifu yake yapo kwa walimu hatuwamimi na ndiyo maana watu hawakuwa hata na habari nayo ilibidi wawe wanatumia nguvu kubwa kushawishi watu hebu ona Simba hakunanguvu iliyotumika timu ikifanya vizuri mashabiki utawapata tu wala haitaji nguvu
 
Back
Top Bottom