Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And you wanted Gor Mahia to win against Simba every time? That would be a monopoly! Katika mchezo wa mpira lazima kuwe na mshindi na mshindwa. Gor has always been beating Simba so sijui hii furaha yote ni ya nini and it was only a friendly match!
Mechi za kujifurahisha lakini jamaa wamejitutumua mpka wanatoka jasho la meno. Yani inaonyesha vile wanatutamani 😂😂😂
 
Wataseme uwanja wa mkapa sio mzuri ndiyo maana wamefungwa
Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asanteni kwa kuitazama Gor Mahia. Ingekuwa makosa kuwafunga ilhali mumegharamia kila kitu 😂
Kwanza labda nikwambie, 90% ya watanzania waliotazama mechi ya Simba jana wala hawaijui Gor Mahia, walichokuwa wanaangalia jana ni wachezaji wa Simba pekee, yn viwango. Na, kwa taarifa yako tu mechi jana ilikuwa sio kufunga ngp mana ilikuwa lazima Simba ishinde, but viwango ndiyo vilizingatiwa.
 
Eldoret City

Screenshot_20250911_111544_X.jpg
 
And you wanted Gor Mahia to win against Simba every time? That would be a monopoly! Katika mchezo wa mpira lazima kuwe na mshindi na mshindwa. Gor has always been beating Simba so sijui hii furaha yote ni ya nini and it was only a friendly match!
Hakuna ulinganisho mzee, usifosi mambo, tuko tofauti sn kwa ss when it comes to football comparison, hakuna battle na nyie kwenye mpira, msijipe umuhimu ambao hakuna.
 
Umuhimu gani tunajipa wakati nyinyi ni customers wetu at club level and national team level? Anayejipa umuhimu sasa ni wewe mwenye unasherehekea ushindi wa kwanza wa Simba dhidi ya Gor baada ya miaka sijui mingapi nayo ni friendly match!
 
Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mashabiki walikuwa wanataka kuona mpira uliozoeleka Simba wa free flowwing football lakini Coach kaficha silaha kuna vita kesho kutwa huwezi anika silaha zako hadharani kirahisirahisi hivyo. anyway tunaendelea ku polish kichwa kuna watu wanakitaka na hii imefanya hata vumbi la DRC liwe adimu mtaani 😁
 
CCM bhn, yn utoto ni mwingi sana aiseee mpk wanajichoresha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unachuki na CCM. Ulisema Tusiongelee mambo ya siasa hapa. Sasa wewe mbona unaleta mambo ya siasa? Tukianza kuweka sisi vitu vya siasa unasema hutaki tena ku comment mpaka uchaguzi upite.

Hiki unachokifanya ni siasa chafu ya kuichafua CCM. Ukiendelea hivi sitakubali na mimi nitafanya vivyo hivyo unavyofanya.

Unakosa ukomavu wa kisiasa

ASANTE
 
CCM bhn, yn utoto ni mwingi sana aiseee mpk wanajichoresha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikianza kuweka Nyomi ya CCM jana tu Kuanzia Singida na Igunga utaogopa.

Kule kigoma Zitto anapelekewa moto na Baba Levo. Nyomi ya kufa mtu.

Hichi unachokifanya ni kufedhehesha Mamlaka ya Rais wetu. So kwa kufedhehesha mamlaka ya Rais maana yake unatufedhehesha watanzania. Rais ndiye representation yetu kwenye mambo ya kimataifa.

Hatuwezi kukubali kiongozi wetu kufedheheshwa na watu kwenye mitandao ya kijamii wao wanajiita watanzania kumbe wapo na nia yao ovu.

Nakuomba wewe endelee na battle ya Dar es salaam vs Nairobi,
Maana kama tukiamua kuchafua mitandao uwezo huo tunao mkubwa mno na hakuna wa kutuzuia. Lakini tumeamua kuchagua Ustaarab tu. UVCCM pekee ipo na members more than 5M. Tukiwaambia vijana 1000 tu waingie mtandaoni wafanye vurugu hizi mnazozifanya hakuta kalika.

Brother ukituona sis CCM mnatutukana tunakaa kimya ni kwa sababu tu wana CCM wanafuata maagizo ya viongozi wao.

Hivi unadhani wewe kweli kwa akili yako unaweza kuwazidi wana CCM kwa lipi?
Do not try to undermine the power of CCM. Tukiwakazia kidogo tu mtaanza kulia.

Simba na Yanga ni matawi ya CCM Huwezi kuwa kiongozi wa Simba au Yanga kama wewe siyo Mwana CCM.
 
Simba na Yanga ni matawi ya CCM
Huwezi kuwa kiongozi wa Simba au Yanga kama wewe siyo Mwana CCM.
kuifungia jf isipatikane nchini kwenu halafu badae unaingia kwa vpn...

hilo tu linafanya sisi wengine tuone ccm hamna akill hata kidogo...

jana mlijaribu kuingilia mpira kama kawaida yenu na majibu mumepata...
 
You know nothing about Kenyan riots. You’re cowards, so you’ll never understand how riots actually work. While people like Diamond and Harmonize are busy licking Suluhu’s ass, in Kenya artists like Bien, Khaligraph, Arrow Boy, Nameless and others were out on the streets protesting. Are you seriously trying to say those people are poor?
You can continue pleasing yourselves but even you know when it comes to courage and speaking up for our rights, there is no comparison between you and us. I see no reason to continue this argument. Ni kama simba kupingana na paka nani mkali.
What did you guy achieve with riots?

Ruto Must Go riots? Ruto still is there and clowns singing tumerudiana na ex, Kumi bila breki, while fellow Kenyans walikufa?.

Name what you did achieve?
 
kuifungia jf isipatikane nchini kwenu halafu badae unaingia kwa vpn...

hilo tu linafanya sisi wengine tuone ccm hamna akill hata kidogo...

jana mlijaribu kuingilia mpira kama kawaida yenu na majibu mumepata...
Brother nimekuambia ukitaka tuuharibu uzi huu kwa kuanza kujibishana mambo ya kisiasa, sisi ni wengi sana. But tunapoamua kuweka Ustaarabu wetu usituone sisi wajinga.

Hapa ni Campaign Uyui Leo Tabora

1757584862823.png

1757584905183.png
 
Back
Top Bottom