Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Kwa sasa hakuna wa kuidanganya DUNIA ni lazima uongo ujitenge tu hao ni Zimbabwe na Uganda na bado wengine wengi tu
Sio zaidi ya kukushangaa ni vile imagine upo kijiweni kwenye utani unaambiwa
"Kwenda huko bana huna lolote ndio maana uliokota soda ya jero"
"Huyo hawezi nunua soda kaokote"
Ukimuuliza mtu akuunganishe Bar
Utasikia
"Hebu wewe subiri gari nyingine ianguke ukaokote"
It pains mzee it's humiliating asee kushobokea chakula bongo.