Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm sinaga huruma kabisa na hawa mbwa, nilishasema kama ikitokea nipo msituni alafu akatokea Simba na mnusa gundi, naua kwanza mnusa gundi alafu simba tutajuana baadae. Na kama ingewezekana pia ningepeleka viruses ili wapungue mana watatupa shida kuwalisha hawa tegemezi, wanazaana kwa rate ya ajabu alafu wavivu.
Paka huwezi ua alafu simba ndio uweze? Bongolala na huo uoga wenu wote atokee simba si utajiharia.
 
ila mchina shikamoo😂😂🙌🏻
hapo utakuta bei halisi ni 200m usd
alaf another 144m usd ni ya politicians

View: https://x.com/ericnjiiru/status/1964614681668309173?s=46

Wewe Mwarabu feki huoni aibu hiyo $75M ni nusu ya hela zilitumika kujenga hako kenu ka Arusha ama kawaida yenu kutoa kivumbi kwenye jicho la jirani wakadi kuna kijiki jichoni mwenu? Alafu kwa akili yako huwezi ona hiyo ya Morocco ni renovation wakati Talanta ni ujenzi from scratch?
 
Daily Dose
Curtain walling details.

screenshot_20250905_191215_facebook-jpg.9889669
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Tulipata shida sana miaka kumi iliyopita tulipogundua kumbe wanatembelea kichwa mambo mengi, Ukiwaambia Wabongo ulikua unaishia kupata kejeli. Sema Tekelinalokujia limwaanika matako juuu 😂 hawana mbele wala nyuma. ( Enzi hizo SSC hawa mbwa walikua na sifa balaa)
 
Back
Top Bottom