muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Mnapenda sana kuota 🤣Talanta stadium itakua kama hii ya Morocco, no running track View attachment 3467588
Alafu iwe na sky rooms kama hii ya uwanja wa real Madrid View attachment 3467590
Mnapenda sana kuota 🤣Talanta stadium itakua kama hii ya Morocco, no running track View attachment 3467588
Alafu iwe na sky rooms kama hii ya uwanja wa real Madrid View attachment 3467590
Cha ajabu Watanzania wengi humu walikosoa manunuzi ya hiyo ndege ila humu hatuoni hata mkunya mmoja akimkosoa Ruto.
Huwa hawakosoi chochote, aliyekuwa akikosoa ni Mkikuyu- Akili timamu na yeye wakaanza kusema ni Mtanzania.
Mbona ujiite magonjwa?
Tulipata shida sana miaka kumi iliyopita tulipogundua kumbe wanatembelea kichwa mambo mengi, Ukiwaambia Wabongo ulikua unaishia kupata kejeli. Sema Tekelinalokujia limwaanika matako juuu 😂 hawana mbele wala nyuma. ( Enzi hizo SSC hawa mbwa walikua na sifa balaa)Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Si jina mbona wewe unaitwa NairobiWalker na hata silalamiki😂?Mbona ujiite magonjwa?
Huyo ni Jaluo, wamenunuliwa na Ruto.
Hio ni Mt Meru?"Uwanja wa Arusha unajengwa porini" alisikika mnuka mavi.
Halafu akimaliza kubwabwaja anaenda kusifia uwanja wa Uganda ambao nao unajengwa porini. 😂😂😂
View attachment 3468031
Sawa watchmanAccent yako ni mbovu kwasababu wewe ni mkenya, huwezi kuwa mzr kwenye English.
62K Full House
Siku 4 kabla
View: https://www.instagram.com/p/DOWJWBDjLZn/?igsh=MWx1bWZmaDhqaGc4dA==
Vipi customer? How's life treating you down there in uswazi?Pole jirani kwa kichapo cha jana
Muulize maana yake!