Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s because you’re cowards. You don’t fight for your rights, and that’s why you never criticize your country. Most of you genuinely believe you live in a land of milk and honey, when in reality you live in a place where everyone is too afraid to expose the rot within—unlike in Kenya. Upuzi kama huu would never fly in Kenya.
Cowards kivipi, wakati watu hawaogopi kujieleza hapa mpaka JF sasa imefungiwa, kama mashada.com ilivyozuiliwa kipindi kile?

Wewe uko kwenye bubble yako, huelewi kinachoendelea Tanzania, Kuna ufisadi mpaka wa watu wakubwa jeshini unaongelewa.

Mtoto wa Samia na dili zake chafu watu wanapost, Rostam na wizi wake watu wanapost mitandaoni. Nyinyi wakenya mnaweza kupost ufisadi wa Uhuru na familia yake?
 
Watchman angesema Kama Burundi mwanangu 😍😍🔥🔥
Naona hapa Mr. Choko reborn umefanya kama unajikuna mwanangu 👇👇🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Screenshot_20250910_005200.jpg
 
Cowards kivipi, wakati watu wahaogopi kujieleza hapa mpaka JF sasa imefungiwa, kama mashada.com ilivyozuiliwa kipindi kile?

Wewe uko kwenye bubble Yako, huelewi kinachowndelea Tanzania, Kuna ufisadi mpaka wa watu wakubwa jeshini unaongeleaa.

Mtoto wa Samia na dili zake chafu watu wanapost, Rostam na wizi wake watu wanapost mitandaoni. Nyinyi wakenya mnaweza kupost ufisadi wa Uhuru na familia yake?
Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.
 
Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.
Hamuendi street, mnapelekwa.

Odinga amewapeleka sana na kawaua sana. Leo familia yake nzima inakula mezani kwa Ruto na nyie njaa kali mnajiita mko kwa serikali.

Soon, Gachagua na yeye ataanza kuwapeleka GIKUYU kafara kwa street.

Hamjawahi ku-fight for your own agendas.

Ndio maana the same KANU gangs ndio hiyo inatawala mpaka leo.
 
Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.
Mpwimbe amekujibu vizuri sana, sina cha kuongeza, hili pia kuna mchungaji mmoja Mkenya aliwahi kulidokezea, akisema, mafisadi Kenya wanapeleka watoto wa maskini kufanya fujo na kupigwa risasi, huku watoto wao wakitulia majumbani Karen huko, wakiangalia kwenye TV (I'm paraphrasing).
 
Kocha wa Taifa Stars need to be sacked asee.

Alafu leteni kocha ambaye anaselect watu bila kujali timu, michezaji ovyo.

Samatta unamuita wa Nini? Tumecheza michezo mingi miaka 2 sijui lini samatta alifungia Taifa stars

Mwacheni tafuta wachezaji wengine, na hawa wa simba na yanga Daily wa nini?

Kocha fala sana, unaingia bila mipango unacheza upuuzi hujui hata set piece unatumiaje ni butua butua.

Yaani wachezaji wacheze tu kisa wachezaji.

Afcon iliyopita huyo kocha mwehu ndie alitukosesa ushindi na Backpass watu wana Red Card mpaka leo yupo.

Need to be sacked.

Ikiwa Vilabu vya Ligi vinatoa pesa ndefu kuleta Kocha timu ya Taifa inafeli wapi?

Kuna nchi zimeprove kocha anafanya kazi na wachezaji wadogo tu.
 
hawezi kua sucked ni mpemba yule kaka yule ni mpemba hawezi kutolewa
 
Back
Top Bottom