sasa nyie mmecheza na wavuvi ndio mnajisifia hapa!!!!! 🤣🤣🤣
sasa nyie mmecheza na wavuvi ndio mnajisifia hapa!!!!! 🤣🤣🤣
Niger timu ndogo sana imewavua chupi Football nation. Nimecheki hio game na nimejua kwamba ligi yenu ni overrated, hakuna synchronizationsasa nyie mmecheza na wavuvi ndio mnajisifia hapa!!!!! 🤣🤣🤣
From all maandamano, vurugu, changing KANU, killing each other, free media press.That’s because you’re cowards. You don’t fight for your rights, and that’s why you never criticize your country. Most of you genuinely believe you live in a land of milk and honey, when in reality you live in a place where everyone is too afraid to expose the rot within—unlike in Kenya. Upuzi kama huu would never fly in Kenya.
That Mkikuyu akili timamu is a Tanzanian? Is that something you call unverifiable?
Broo, there is a way a genuine critic criticizes his country. That guy hata wewe unajua is a Bongolala.
Wametupa bomu mochwari leo kelele nyingii hata yule nyang'au aliyejificha baada ya kisago cha wagambia juzi leo ameibuka tena😂sasa nyie mmecheza na wavuvi ndio mnajisifia hapa!!!!! 🤣🤣🤣
Tanzania ndio nchi ya 9 kwa ukubwa duniani kutocheza World cup. Watu 70 million lakini hakuna wachezaji 25 wanaojua mpira 😂View attachment 3468300
Kuna Kenge kaniquote kuhusu AFCON amesahau hawana win hata Moja, wanaingia na wanatoka maskini hata FIFA ranking haiwapandishi 😂Hawajai shinda game moja hata AFCON despite kuqualify mara nyingi. Kazi ya hua kusindikizana tu. 🤣 🤣 🤣 Sasa World Cup si wnaweza najisiwa.
MtombweFrom all maandamano, vurugu, changing KANU, killing each other, free media press.
WHAT HAVE YOU CHANGED???
What AGENDA have your fought for??
You always fight for the interests of FEW PEOPLE not YOU.
MFs
Leo nimeamini hatuna makocha kweli ila wachezaji tunao
Hata wachezaji hamna.Leo nimeamini hatuna makocha kweli ila wachezaji tunao
ChimanoMtombwe
Wee nawe.🤣🤣🤣🤣Hata wachezaji hamna.
Umeona, Overrated mediocres playersHata wachezaji hamna.
Hii imekaa njema. Comments za wadau hapa na kifano ya kupaka rangi imewafikia wahudika
View: https://www.instagram.com/p/DOWn0w1DZNO/