ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kumbe ndio modern and best in africa 🙌🏻
RIP magufuli
Yah, masoko mengi na stendi nyingi za mabasi zilijengwa nje ya mji lakini kwa sasa hayo maeneo watu wamehamia na kujenga kwa fujo.Wakenya ni too primitive and restrictive minded.
Waje baada ya AFCON waone kama hilo eneo patakuwa PORINI.
Wao wamejazana kieneo kidogo, wamebanana Nairobi.
Mji umejaa ZEGE za barabara wanaita UNDERPASS, FLYOVER, HIGHWAY, BYPASS, SUPEHIGHWAY, Bado FOLENI zimejaa.
Wakiwa na mechi tu, wanafunga BARABARA.
BADO HAWAJIELEWI.
Kenya's electricity production is now at 3,812MW.
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1965294167782981867?t=qv7KfNnN2_4UVfeOC09AjA&s=19
Sio zaidi ya kukushangaa ni vile imagine upo kijiweni kwenye utani unaambiwa
"Kwenda huko bana huna lolote ndio maana uliokota soda ya jero"
"Huyo hawezi nunua soda kaokote"
Ukimuuliza mtu akuunganishe Bar
Utasikia
"Hebu wewe subiri gari nyingine ianguke ukaokote"
It pains mzee it's humiliating asee kushobokea chakula bongo.
Yale yale ya Kisumu kagazeti.How does this tweet dispute whatever I have posted that Kenya's current installed electricity is 3,812MW?
Wewe nyang'au kwa nini unaingilia uhuru wangu wa kunukuu?😂How does this tweet dispute whatever I have posted that Kenya's current installed electricity is 3,812MW?
Ila Wazimbabwe nao ni Wapumbavu kujifananisha na Tanzania kwa kutumia Mangalangala!Kwa sasa hakuna wa kuidanganya DUNIA ni lazima uongo ujitenge tu hao ni Zimbabwe na Uganda na bado wengine wengi tu
Between Kenyans and Tanzanians, who criticizes their government more? That’s not even a question worth debating. Drop a pin anywhere on the map of Africa, ask the first person you meet, and the answer will always be the same.Huwa hawakosoi chochote, aliyekuwa akikosoa ni Mkikuyu- Akili timamu na yeye wakaanza kusema ni Mtanzania.