Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magari ya hivi ndo yangekuwa yanasafirisha samaki wale wa ferry. Sio kwa kutumia bajaji na daladala kama sasa
Au soko la samaki walitoe kabisa pale. Lipelekwe somewhere Kigamboni au Kunduchi kule
Lile soko pale hakuna namna walitoe tuu, zamani tulikuwa local, nowadays sisi ndiyo kioo cha maendeleo EA, so ni lazima tubadilike, yale maustaarabu ya pwani inabidi tuangalie jinsi ya ku modernize. Tunaweza tukalihamishia upande wa pili lile soko na tukatengeneza ustaarabu mzuri, hata pale kigamboni ile stand ni kama tupo miaka ya 70s aisee, eneo lipo pua na mdomo na CBD lkn linakaa kama gikomba? Alafu soko la samaki linakaa karibu na ikulu kweli? Harufu za samaki mtindo mmoja, hapana kwa kweli.
 
Mwambie aende Burundi or Malawi maisha ni cheap huko.
Poor nations.
Kwani wewe hutamani kukimbia huko kenya kutokana na ugumu wa maisha? Ungependa kukimbia ila huwezi mana ndiyo nchi yako hiyo japo ni ya hovyo but huna pakwenda, mwenzio anapo pakwenda, ndiyo mana kaamua kurudi nchini kwake kwenye maziwa na asali, wewe baki huko huko cz hata ukitaka kukimbilia Tz siku hz tunawafukuza mfie huko huko kwenu, hatutaki wazembe na wavivu huku kwetu.
 
Ila watanzania ni wastarabu sana kwa kweli sio wanusa gundi ajali nyingi zinazowekwa humu watanzania wao wakimbilia kuokoa sio kuiba
 
Watanzania labda gari la mafuta ndiyo huwa naona wanchota sio

vyakula na vinywaji ukiiba wanakushangaa kweli njaa ni mwana haram
 
Ila watanzania ni wastarabu sana kwa kweli sio wanusa gundi ajali nyingi zinazowekwa humu watanzania wao wakimbilia kuokoa sio kuiba
Njaa hamna na inakua aibu sana, imagine umebeba kasoda ka jero buku au unga seriously nyumbani upo.

Utanangwa vijiweni sana, labda kitu pekee wanaweza jaribu kuloot ni vile vipo beyond chakula

Like iangushe TV, subwoofer etc yaani vitu vile tunastrive kuvimilika hapo huenda roho ikashawishika.

Na still kuvilooot hivyo sio rahisi maana utajikuta unaloot mwenyewe upigwe kofi 😂😂😂
 
Watanzania labda gari la mafuta ndiyo huwa naona wanchota sio
vyakula na vinywaji ukiiba wanakushangaa kweli njaa ni mwana haram
Sio zaidi ya kukushangaa ni vile imagine upo kijiweni kwenye utani unaambiwa

"Kwenda huko bana huna lolote ndio maana uliokota soda ya jero"

"Huyo hawezi nunua soda kaokote"

Ukimuuliza mtu akuunganishe Bar
Utasikia

"Hebu wewe subiri gari nyingine ianguke ukaokote"

It pains mzee it's humiliating asee kushobokea chakula bongo.
 
Back
Top Bottom