Hii ikifika kwa wahusika hamna wa kupingaThis is a nice idea
Asante mchina 😁Talanta will never be built 🤣🤣🤣🤣View attachment 3465618
Jirani kainamishwa mgongo tena 😭na uwanja wamejazaWanakumbuka shuka kumeshakucha
View attachment 3465863
umeingia chaka mzee 😂😂😂Ni nzuri saa hapa. Japo kuwa inaitwa Bi Titi na siyo Bibi Titi, alikuwa siyo bibi.
mtoto kautaka 😂😂😂😂😂Tupo LIVE wakuu
View attachment 3465755
wakishkishwa ukuta hua wanalia kimya kimya😂😂😂😂😂 nyako maber mbwa hiziAmkeni amkeni amkeni kuna mbuzi wanafundiahwa soka huku
View attachment 3465767
kainama wamampaka mafuta sasa😂😂Jirani kainamishwa mgongo tena 😭na uwanja wamejaza
Sidhani kama ni kweli. Nkrumah kwanza hakuwa na nguvu.Nyerere hakumkubali sana Nkrumah, walikuwa mafahari wawili kwenye zizi moja.
Sasa hayo makosa yaliyo andikwa na watu ambao hawaelewi history hayawezi kuondoa ukweli.
Unaweza kusoma zaidi hapa:
hio ni jamii forum article mzee 😂😂😂Unaweza kusoma zaidi hapa:
![]()
Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed
MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...www.jamiiforums.com
Nkrumah alijitangaza Rais wa Maisha Ghana wanajeshi wakasema naye. Hata Nyerere kutokubali falsafa ya Africa Unite kwa mrengo wa Nkrumah ni kwamba aliishaona kuwa Nkrumah anajiandaa kuwa Rais wa Afrika, Nyerere akatumia influence yake kupinga ideology yake na kuja na mtazamo mwingine wa RECs, hata hiyo heshima kidogo kapewa ni sababu tu ya heshima ya Pan Africanism na yeye kuwa Pan Africanist wa kwanza kuipa nchi yake uhuru, otherwise Nkrumah angetuburuza sana kama angefanikiwa.Sidhani kama ni kweli. Nkrumah kwanza hakuwa na nguvu.
Alipinduliwa akakimbia nchi, na kufia Uhamishoni.
Hata uwanja wa Ndege Ghana unaitwa Asante Kotoka, Mwanajeshi aliyempindua.
Hata wewe uliyoweka ni Model ya AI mtu anaweza kuweka tu na kupotosha ukweli. Mimi nakupatia ukweli.
Nkrumah alijitangaza Rais wa Maisha Ghana wanajeshi wakasema naye. Hata Nyerere kutokubali falsafa ya Africa Unite kwa mrengo wa Nkrumah ni kwamba aliishaona kuwa Nkrumah anajiandaa kuwa Rais wa Afrika, Nyerere akatumia influence yake kupinga ideology yake na kuja na mtazamo mwingine wa RECs, hata hiyo heshima kidogo kapewa ni sababu tu ya heshima ya Pan Africanism na yeye kuwa Pan Africanist wa kwanza kuipa nchi yake uhuru, otherwise Nkrumah angetuburuza sana kama angefanikiwa.