Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Na za town wakifanya hakika zitanoga, hizi round about zimenakishiwa sanamu zenye mandhari ya na historia ya Dar es Salaam wakire-capet na barabara zake wakaweka na street lights na hapo NHC anarepair na kupaka rangi majengo yake basi tumamaliza kazi ibaki kazi kabisa.Baada ya kupiga sana kelele main roads za Masaki zimewekwa lami mpya juu ya lami za zanani sasa zinapendeza na kuvutia.
Bado mitaa ya Posta lami za zamani zimechoka inabidi zirudiwe. Samora,Mkwepu,Indira Ghandi etc inabidi zipigwe msasa.