Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulifunga mainland Tanganyika tukapoteza kwa island Zanzibar. Both of them when combined make Taifa stars, so Tanzania didn't beat us πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Tunaona mnnaanza kuchanganyikiwa
 
Kuna kiwanda cha sukari kinajengwa kigoma.
 
Hivi clubs zenu zimewahi kuingia japo group stage za CAF cl au CAF cc?
 
Hawa Gor Mahia hawakuchoka kuomba mechi na giants wa Tanzania? Yanga iliwatolea nje, kumbe Simba iliwakubalia?
 
You're talking to a country that has beaten you in 9 of the last 10 meetings you've had. Kichwa chako kiko sawa?
Enzi hizo tulikuwa tunafungwa mpk na Burundi, timu zetu zilikuwa zinafungwa mpk na timu za kenya, vipi leo? Je, timu zenu zinaweza kuzifunga giants wetu? Usiongelee mambo ya kale we mzee.
 
Lete uthibitisho, usinyofoe maneno kutoka nyuma uko.
 
Endeleeni kujiliwaza, sisi tunazidi kuwa wakomavu kwenye Afcon, kila mwaka tunaenda consecutively.
Hua munaenda kulose games, hamjawai shinda game hata moja kwa AFCON tournament. 🀣 🀣 Ile siku mutashinda hatutapumua hapa.
 
Lete uthibitisho, usinyofoe maneno kutoka nyuma uko.
Wewe endelea kujliwaza hapo Tandale ukiota kwamba your glorified fishing village will ever catch up with Nairobi



 
We are talking about national teams. Gor Mahia ni national team? FYI hiyo Gor Mahia ndio the only EA club imewai shinda CAF champions league. So ilishinda bila kupita preliminary round?
Eti caf champions league, msikilizeni huyu mbwa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Endeleeni kujiliwaza, sisi tunazidi kuwa wakomavu kwenye Afcon, kila mwaka tunaenda consecutively.
Wakomavu ambao hawajawahi shinda mechi yoyote AFCON! Are you even aware that of all the teams that have ever participated in AFCON tournaments, Tanzania has the worst record?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…