Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,991
Washasahau kama walikua wanatumia malawi kama home ground,wajinga kweli hao
Washasahau kama walikua wanatumia malawi kama home ground,wajinga kweli hao
Ana swaga Ng'ombe zake tuu...anazipeleka vyovyote atakavyo.
Hiki ni nini!Which Tanzania eliminated Kenya? 🤣🤣
When was that? 🤣🤣
Do you even know the last time Tanzania beat Kenya?🤣🤣 It was in 2012.. 13 years ago.
I've realized most of your bravado here stems from a lack of knowledge. Nikiwaambia mnakariria mambo mnayobiwa na wanasiasi mnaniita mbaya. Hapa huwezi pata instanbul akicall out hizi maungo zenu.🤣
Sema nyie sio watu wa Mpira , how do we even waste time educating you. Ziko friendlies zilizopo kwenye calendar ya fifa, sio Kila friendlies count.We lost to Burundi before the last update, Ile yenye mlituvuka. There's no single game that doesn't have an effect on FIFA rankings. Even friendlies. No knowledge na mnajiita footballing nation. What an idiot.
Hawana tofauti na wale mademu wanao shabikia mpira lakini hawajui ni timu gani zinacheza. 😂😂😂Huwa wanakumbuka game wanazoshinda tu, wanazofungwa hawakumbuki.
Mkunya aka Chimano kama ChimanoEnyewe Mtombwe ni Mtombwe tu. 🚮
Na pavements za meters 10 CBD 😁😁Yaani ndo project pekee tangu mwaka uanze! 😂😂😂
Sasa mtu anayesema CHAN haziaffect FIFA rankings ndio wa kunifunza mpira?Sema nyie sio watu wa Mpira , how do we even waste time educating you. Ziko friendlies zilizopo kwenye calendar ya fifa, sio Kila friendlies count.
If you really want to climb ranks then beat Morocco senior football national team. Not their U21. Unafhani fifa ni wajinga kama wewe.
Mmeshinda kwa penalty? Hiyo tunahesabu kama draw. Ushindi ni 90 minutes. Anyway, since then tumewashinda ngapi? Huu huu mwaka tumewapiga tena kwenu.Huwa wanakumbuka game wanazoshinda tu, wanazofungwa hawakumbuki.
Huu mwaka si game ya mwisho mlipigwa finals, aren't you forgetting something mate ?Mmeshinda kwa penalty? Hiyo tunahesabu kama draw. Ushindi ni 90 minutes. Anyway, since then tumewashinda ngapi? Huu huu mwaka tumewapiga tena kwenu.
Hii ni takataka gani tena.? 🤣🤣🤣Kingine Kipya.View attachment 3463140
I'm talking about Taifa Stars vs Harambee Stars buana. Focus.Huu mwaka si game ya mwisho mlipigwa finals, aren't you forgetting something mate ?
Which taifa stars have you played with hiyo December mate, are you hallucinating or something?I'm talking about Taifa Stars vs Harambee Stars buana. Focus.