Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,055
- 17,765
Nani kaomba mwingine mechi hapa?Hawa Gor Mahia hawakuchoka kuomba mechi na giants wa Tanzania? Yanga iliwatolea nje, kumbe Simba iliwakubalia?
Najua kiingereza kizungumkuti ila jaribu eulewe
Nani kaomba mwingine mechi hapa?Hawa Gor Mahia hawakuchoka kuomba mechi na giants wa Tanzania? Yanga iliwatolea nje, kumbe Simba iliwakubalia?
Tukiwaambia cc ni football nation hawataki.Tulicheza.
View attachment 3463878
Na Tumefuzu tena Futsal Women Word cup. (Tanzania women national team)
View attachment 3463877
View attachment 3463884
Alafu unajiita a football fan!😂😂😂Tuambie mmeshinda mechi ngapi na sisi tumeshinda ngp, na mlipata points ngp na cc ngp.
Alafu nilikuwa sijamuona Nicxie kumbe yupo mbele kabisa, ona ndonga iyo ya nicxie kabisaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gari za nairobi, takataka inazoa taka View attachment 3464112🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyang'au kipchirchir arap Teargass huwa anajisemea hovyo hovyo tu, sio mtu wa kumuamini hata kidogo😎Tiwa gesi alisema yakwao inatembea kwa kasi kuliko sgr ya Tanzania
hata sisi tunaona uchafu utakuja kusumbua 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻View attachment 3464260
Mombasa in a few itakuja kusumbua sana, silently and steadily rising😍😍