ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,412
Acha wenge bwana PLPL,suala la lami Mjini na Kijijini halihitaji kuhojiwa chini ya SSH.so kiwango cha lami ni km ngap ? hebu fafanua vzr πππππ
maana magufuli aliacha 13,000 zikiwa zimekamilika na over 2000 km zikiwa under construction haya sasa tueleze so far barabara za lami ni km ngap ???
deni from 57 to 107trillion within 4 good yrs
na uniambie ukweli maana mm ni mtanzania sitaki mambo ya kuaibishana hapa tafadhali
Unakoishi Ardhi inalia Kwa makatapila.
View: https://www.instagram.com/p/DIgnI0otfWT/?igsh=MXRmeHBna3V0dWlrNg==