ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,860
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂That is quite nonsense matamshi.
As we speak deni la Zanzibar ni kubwa kuliko Mapato Yao.
Miradi yote inayoendelea huko ni mikopo na PPP.
Ndio kusema kwamba eti miaka 5 ijayo itluwa ni Kwa Ajili ya kulipa madeni au?
Nonsense kabisa 😂😂😂😂😂
nonsense kwako sisi tunamuelewa kua huyu ndio anaefaa kua rais wa jamhuri ya tanzania anasimamia maono yake anataka nchi igharamikiwe kwa kodi sio kukimbilia kukopa commercial loans alaf kesho unatafuta tozo mpaka kwenye miamala ya simu kurudisha madeni ya watu
labda nikurahisishie swali so far tanzania ina km ngap za lami ??😂😂😂😂😂😂