Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Massive you say? 🤣 🤣 🤣
Mchuano mdogo kama CHAN as if mshaawai host hiyo CHAN before. Yani nyinyi watu ni wa kuignore tu.
No one bothers to watch chan tournaments mate,
Last few weeks we held one of the CAF continent's biggest tournaments finals in Zanzibar ,
Mwaka Juzi pia tulihost finals za CAF Benjamin Mkapa,
Of which your clubs won't qualify above prelims.
But we all know Kenya is not a footballing county, the only way for you guys to qualify is to play the host card.
December Tanzania is going to Morocco to participate to the AFCON, the continent's biggest football tournaments.
Bado mko chini sana mate, hata kwenye ranks za fifa you are located at the infinity.
 
Daily Dose. Kitu kama render mwananguuu!
fb_img_1756821012819-jpg.3462766

fb_img_1756670192126-jpg.3462762
Mchina hapa bila kumiliki Kunyaland nusu pesa yake ataisikia kwenye radio, Kunyaland haina uwezo wa kulipa hili deni hata wapewe miaka 700
 
Tanzania is Building three massive , Modern Stadia at once . Arusha , Dodoma and Zanzibar. But hata huoni tukisumbua humu as we are used to such things. Nyingi michuano midogo kama chan tayari midomo mirefu. Tanzania kwa Sasa sio level zenu when it comes to whatever aspects in Football.
Muda mwingine ni kuwaacha tu wajifurahishe,si umeona walikua wanagombea unga kwenye lori lililopata ajali,washashiba sasa unga wa wizi acha wajifurahishe
 
No one bothers to watch chan tournaments mate,
Last few weeks we held one of the CAF continent's biggest tournaments finals in Zanzibar ,
Mwaka Juzi pia tulihost finals za CAF Benjamin Mkapa,
Of which your clubs won't qualify above prelims.
But we all know Kenya is not a footballing county, the only way for you guys to qualify is to play the host card.
December Tanzania is going to Morocco to participate for the AFCON, the continent's biggest football tournaments.
Bado mko chini sana mate, hata kwenye ranks za fifa you are located at the infinity.
Hizo tournament uchwara ndio unaongelea? 🤣 🤣
AFCON mtachapwa games zote kama kawaida yenu.
Rankings mmetupita for a short time juu ya FIFA ban yenye tulikuwa nayo but I can assure you hamtokaa mbele yetu for more than a year. Anyway, I remember mkisema humu FIFA rankings haimaanishi chochote tukiwa mbele yenu, sikuizi hammalizi siku kama hamjataja FIFA rankings. Nangoja tuwapite tena nione vile mtabadili gear.
Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu
 
Massive you say? 🤣 🤣 🤣
Mchuano mdogo kama CHAN as if mshaawai host hiyo CHAN before. Yani nyinyi watu ni wa kuignore tu.
That's how they console themselves whenever they underperform in anything. Just because they failed to attend CHAN matches, sasa tunaambiwa ni michuano midogo kwao. Just wondering which big international football tournaments they have hosted before kando na haya ya CHAN (which their attendance was even wanting) ndio tuambiwe ni ndogo kwao. In fact, kenya had hosted many global sporting events, bringing the whole world together, something that still remains a pipe dream in Tanganyika.

They forget how they used to tell us wapewe haya mashindano ya CHAN waandae pekee yao when Kenya lagged behind in preparations. Ghafla yamekuwa tena yasiyo na maana 🤣🤣

Kama haya mashindano ya CHAN ni ndogo kwao as they say, then why did they host them and why did they even participate in them? Mibongalala yanatia huruma kweli!
 
Hizo tournament uchwara ndio unaongelea? 🤣 🤣
AFCON mtachapwa games zote kama kawaida yenu.
Rankings mmetupita for a short time juu ya FIFA ban yenye tulikuwa nayo but I can assure you hamtokaa mbele yetu for more than a year. Anyway, I remember mkisema humu FIFA rankings haimaanishi chochote tukiwa mbele yenu, sikuizi hammalizi siku kama hamjataja FIFA rankings. Nangoja tuwapite tena nione vile mtabadili gear.
Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu
Unasema AFCON tutachapwa mechi zote yet you didn't qualify and we did.
When it comes to Football, this is not your forte. labda wizi.
Next week Simba will play gor mahiya, and the tickets selling from 350ksh, regular seats to 17,500Ksh VVIP
You'll get to learn something.
 
Ati tumewapita juu ya Ban, kwani mmekuwa banned kwa muda gani.
Halafu mbona kipindi cha ban mlikuwa mbele yetu. 😂😂😂
Wewe ni certified nincompoop.
 
When it comes to Football Kenya is not your forte. labda wizi.
Next week Simba will play gor mahiya, and the tickets selling from 350ksh, regular seats to 17,500Ksh VVIP
You'll get to learn something.
FIFA men's ranking tupo mbele yao.
FIFA women's ranking tupo mbele yao.
FIFA Futsal ranking tupo mbele yao, tena kwenye hii wao wala hawapo kwenye rankings yaani hawana point hata moja. 😂😂😂
 
That's how they console themselves whenever they underperform in anything. Just because they failed to attend CHAN matches, sasa tunaambiwa ni michuano midogo kwao. Just wondering which big international football tournaments they have hosted before kando na haya ya CHAN (which their attendance was even wanting) ndio tuambiwe ni ndogo kwao. In fact, kenya had hosted many global sporting events, bringing the whole world together, something that still remains a pipe dream in Tanganyika.

They forget how they used to tell us wapewe haya mashindano ya CHAN waandae pekee yao when Kenya lagged behind in preparations. Ghafla yamekuwa tena yasiyo na maana 🤣🤣

Kama haya mashindano ya CHAN ni ndogo kwao as they say, then why did they host them and why did they even participate in them? Mibongalala yanatia huruma kweli!
Are they aware tumehost All Africa Games? Tumehost IAAF?
 
Unasema AFCON tutachapwa mechi zote yet you didn't qualify and we did.
When it comes to Football, this is not your forte. labda wizi.
Next week Simba will play gor mahiya, and the tickets selling from 350ksh, regular seats to 17,500Ksh VVIP
You'll get to learn something.
You're talking to a country that has beaten you in 9 of the last 10 meetings you've had. Kichwa chako kiko sawa?
 
Ati tumewapita juu ya Ban, kwani mmekuwa banned kwa muda gani.
Halafu mbona kipindi cha ban mlikuwa mbele yetu. 😂😂😂
Wewe ni certified nincompoop.
The ban affected us. First it made us drop points, then it caused a disorganization in the federation. We started restructuring early this year. Nina uhakika within the next 1 year mtakuwa mshaanza kutuambia vila FIFA rankings mean nothing. Si mlikuwa mnajichocha mtahost CHAN pekee yenu after it was clear we hosted better than you mmeanza kusema ni tournament ndogo.
 
Back
Top Bottom