Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the bat
 
Welcome to the battle.
Diamond ametukosea Sana wabongo baada ya kusema wadada wa Kenya wanaelimu ila Dada zetu wa Tanzania wana utamu. Diamond anapaswa kutuomba radhi watanzania
 
Dah! unahailngaika sana mzee, 😂😂😂
haya nachomoa usilie sasa😂😂

IMG_8285.jpeg
 
Daily Dose. Kitu kama render mwananguuu!
fb_img_1756821012819-jpg.3462766

fb_img_1756670192126-jpg.3462762
Tanzania is Building three massive , Modern Stadia at once . Arusha , Dodoma and Zanzibar. But hata huoni tukisumbua humu as we are used to such things. Nyingi michuano midogo kama chan tayari midomo mirefu. Tanzania kwa Sasa sio level zenu when it comes to whatever aspects in Football.
 
huyo ni punguani muach
 
Massive you say? 🤣 🤣 🤣
Mchuano mdogo kama CHAN as if mshaawai host hiyo CHAN before. Yani nyinyi watu ni wa kuignore tu.
 
Back
Top Bottom