Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea sana kuonesha ukumbaf wako humu.
Ama unadhani CAF walileta mashindano yao East Africa ili wapate faida! 😂😂😂

Watu wameingia bure kwa kuruka ukuta na kuvunja mageti kuna faida gani CAF wamepata?

Wachezaji wamekuwa harassed, waandishi wameletewa fujo kwenye eneo lao. Mashabiki wameumizwa watu wameingia ja boda boda kwenye entrance gates... Ilikuwa ni full chaos kuliko hata mpira wa ndondo. Hapa Bongo ndondo Ina heshimika Hadi Rais wa CAF imefika kushuhudia fainali.

Hao wehu wa North hakuna jamii iliyo staarabika itapenda kujichanganya nao hata kidogo. Wako very backwards and uncivilized.
 
Ilibaki tu hivi wapigwe ban ya kucheza bila mashabiki ila CAF wakawaonea huruma tu.

CAF haitegemei viingilio kama mapato yao kwenye haya mashindano, mjae msijae wao wana focus na ratiba zao.
CAF wana sponsors kibao wanao toa pesa nyingi ndio maana hawategemei mashabiki ndio maana wanaweza kuamka wakasema leo waingia mashabiki elfu 24 tu badala ya mashabiki elfu 40. 😂😂😂
 
Endelea sana kuonesha ukumbaf wako humu.
Ama unadhani CAF walileta mashindano yao East Africa ili wapate faida! 😂😂😂
Nani amesema mashabki walkua waingie ndo wapate faida? Mbna ada ya tiketi iwe chini vile basi, hadi 100 mlizokua mkitozwa huko bongo? Wacha ujinga wa kusifia upuzi
 
Endelea kudhani kudhani CAF wana give the fuc*** about mashabiki kuingia. 😂😂😂
Endeleeni na fujo kama 2027 mtaingiza mashabiki kuangalia mpira.
CAF/ FIFA wanajali wachezaji kuliko mashabiki na hakuna kitu utafanya.
 
Finali ya afcon itachezewa kenya na hakuna kitu utafanya. Hadi sasa mnaomba fujo ila mpate nafuu
 
Kingine Kipya.
1000046658.jpg
 
Hapa tuko na makondoo, eti mashabiki sio lazima. Wamezoea zile fungulia mbwa za Simba na Yanga 😂
Nyie ni wageni sana kwenye michuano ya CAF Infact, hamuijui Caf, they don't care. You are not used to caf games.
If you'll be be consistent in appearing to caf games you'll realize.
Most of big games caf only allows limited number of fans. Sometimes without any genuine reasons.
 
Back
Top Bottom