Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

makusanyo ya kodi ya kupika ambayo nchi inakopa 52 trillion in 4 yrs alaf unasema unakusanya pesa nyingi kulikua na haja gan ya kukopa lama pesa ya makusanyo makubwa ipo 😂😂😂😂😂

magufuli aliacha mtandao wa lami nchi nzima ikiwa ni 13,000km na 2000+km zikiwa under cosntruction sasa niambie so far 2025 tuna km ngap za lami nchi nzima?

naomba unijibu ukweli maana mm hua sina subra katika kuongea ukweli 😂😂😂
 
Lami Hadi Simanjiro,kabla ya SSH kulikuwa hakuna.

View: https://www.instagram.com/p/DEc2W7TtoJ2/?igsh=MXdrbmx6MHo4bHFzZA==
 
🇹🇿🇹🇿 Sio Zambia ,watu wa Zambia wanaingia mara 5 Kwa Tanzania.

Acha wenge.

Hadi simanjiro wamepata lami.

View: https://www.instagram.com/p/DEc2W7TtoJ2/?igsh=MXdrbmx6MHo4bHFzZA==

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

zambia yenyewe sasa unayoiponda

alaf ajabu zambia ambao wanapitisha mafuta yao bandari ya dar kwao bei ya diesel ni kwacha 23.13 sawa na 2425 kwetu tunafurahi bei kupungua shs 20 huku bei ikibaki pale pale 2754 😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Lami Kila Kona

View: https://www.instagram.com/p/DEaIs4RtHlH/?igsh=Yzh2b2YybHRxZmx6
 
yani swali langu ni dogo sana wala haliitaji hasira 😂😂😂😂👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

magufuli aliacha mtandao wa lami nchi nzima ikiwa ni 13,000km na 2000+km zikiwa under cosntruction sasa niambie so far 2025 tuna km ngap za lami nchi nzima?

naomba unijibu ukweli maana mm hua sina subra katika kuongea ukweli 😂😂😂
 
yani swali langu ni dogo sana wala haliitaji hasira 😂😂😂😂👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

magufuli aliacha mtandao wa lami nchi nzima ikiwa ni 13,000km na 2000+km zikiwa under cosntruction sasa niambie so far 2025 tuna km ngap za lami nchi nzima?

naomba unijibu ukweli maana mm hua sina subra katika kuongea ukweli 😂😂😂
Iringa Vijijini wanaogelea kwenye lami.

Give total

View: https://www.instagram.com/p/DDhCEu1tEkG/?igsh=MXVydGk4dnB2dnYzbQ==
 
That is quite nonsense matamshi.

As we speak deni la Zanzibar ni kubwa kuliko Mapato Yao.

Miradi yote inayoendelea huko ni mikopo na PPP.

Ndio kusema kwamba eti miaka 5 ijayo itluwa ni Kwa Ajili ya kulipa madeni au?

Nonsense kabisa 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

nonsense kwako sisi tunamuelewa kua huyu ndio anaefaa kua rais wa jamhuri ya tanzania anasimamia maono yake anataka nchi igharamikiwe kwa kodi sio kukimbilia kukopa commercial loans alaf kesho unatafuta tozo mpaka kwenye miamala ya simu kurudisha madeni ya watu

labda nikurahisishie swali so far tanzania ina km ngap za lami ??😂😂😂😂😂😂
 
Mmeshaanza tena masiasa yenu.

Some streets of Dar es Salaam
Nyuma ya Silicon Dar.
Wanasemaga imezungukwa na slums.

PXL_20250902_071936327.LONG_EXPOSURE-01.COVER.jpg

PXL_20250902_071924256.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
PXL_20250902_071928394.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

nonsense kwako sisi tunamuelewa kua huyu ndio anaefaa kua rais wa jamhuri ya tanzania anasimamia maono yake anataka nchi igharamikiwe kwa kodi sio kukimbilia kukopa commercial loans alaf kesho unatafuta tozo mpaka kwenye miamala ya simu kurudisha madeni ya watu

labda nikurahisishie swali so far tanzania ina km ngap za lami ??😂😂😂😂😂😂
Hakuna kitu mnaelewa zaidi ya ujinga kama ule wa mtungi wa gesi kuuzwa buku 2 huko Cuba.

Mama ameondoa Giza Sumbawanga.

View: https://www.instagram.com/reel/DOIwKDhjFh0/?igsh=MTh4ejJ4NnZuZTE4YQ==
 
Back
Top Bottom