Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shida sio kuingia PPP au shida sio waarabu shida ni nani yuko nyuma ya hzo PPP hapo ndio penye tatizo 😂😂😂😂😂
Unataka uwekezaji au shida Yako unachagua nani wa kuwa nyuma?

Wenzenu hawaogopi Waarabu.
Screenshot_20250903-112112.jpg

View: https://youtu.be/QdwXJb2InAg?feature=shared
 
Wawekezaji wakilipa Kodi ananufaika nani? Wewe na PLPL hamnufaiki? 😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/DN5MwwxCJZE/?igsh=enJ2a3FmdDQ1d2Zl

Anyway mama hagombei 😂😂😂😂😂😂😂

hagombei au CCM kwenyewe hawamtaki ndio maana hakutaka apigiwe kura maana ingekua aibu ya karne 😂😂😂😂

marais wote walipigiwa kura ndani ya CCM yeye pekeake kapitishwa juu kwa juu unafkiri kikwete alikua hajui kama atapigwa chini mapema asbh 😂😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣
Wacha nikuache.
A reason I say nyinyi Mpira hamjui, mna mihemko tu ya siasa, hata kujaza uwanja kwa kuvunja magate was due to political distress.
Sasa mmealikwa mmeenda Zanzibar kucheza tournament inaitwa Muungano, mkakuta Kuna team mbili, Moja ya Tanzania mainland na nyingine ya Zanzibar, Yaani Taifa stars has been split into two, Kisha Wachezaji wote Muhimu hawapo, then mkaotea kufunga mainland na mnajipiga chest, mbona husemi mlifungwa na Zanzibar on same muungano bonanza,?
A reason I said even chan was a joke, sababu wakati south Africa inacheza huko Uganda their premier league matches were still ongoing. Meaning that they brought Jennitors to the tournament.
Same thing you won against Morocco, then mko full na wao they brought their u21 just for experience.
Fools.
 
hagombei au CCM kwenyewe hawamtaki ndio maana hakutaka apigiwe kura maana ingekua aibu ya karne 😂😂😂😂

marais wote walipigiwa kura ndani ya CCM yeye pekeake kapitishwa juu kwa juu unafkiri kikwete alikua hajui kama atapigwa chini mapema asbh 😂😂😂😂
SSH hatogombea atapigwa chini 🤣🤣🤣👇👇
pm_1740131433486_cmp.jpg
pm_1740131466822_cmp.jpg
pm_1740131466898_cmp.jpg
 
Nyinyi mama yenu aliwaambia uchumi wa Tanzania unafanya vizuri hadi kushinda ulaya na marekani, lakini ya kenya ndo inakuwasha
😂😂😂😂😂 kwa hili nakuunga mkono usimlaumu nae ni mwanasiasa pia kama ruto
 
A reason I say nyinyi Mpira hamjui, mna mihemko tu ya siasa, hata kujaza uwanja kwa kuvunja magate was due to political distress.
Sasa mmealikwa mmeenda Zanzibar kucheza tournament inaitwa Muungano, mkakuta Kuna team mbili, Moja ya Tanzania mainland na nyingine ya Zanzibar, Yaani Taifa stars has been split into two,

Naongea na mtu mwenye hata hajui Zanzibar is not part of Taifa stars. Yani haelewi team yake ya nchi alafu ananiambia tubishane naye kuhusu mpira. instanbul kuja uchukue hii ng'ombe yako?
Kisha Wachezaji wote Muhimu hawapo, then mkaotea kufunga mainland na mnajipiga chest, mbona husemi mlifungwa na Zanzibar on same muungano bonanza,?
A reason I said even chan was a joke, sababu wakati south Africa inacheza huko Uganda their premier league were still ongoing. Meaning that they brought Jennitors to the tournament.
Same thing you won against Morocco, then mko full na wao they brought their u21 just for experience.
Fools.

Kwa hivo Kenya ndio wachezaji wake muhimu walikuwa? Wacheni excuses buana. If you are a football nation then your reserve team should be able to beat our reserve team.

Wee enda ujifunze Taifa Stars ni nini ndio uje tuongee.
 
Naongea na mtu mwenye hata hajui Zanzibar is not part of Taifa stars. Yani haelewi team yake ya nchi alafu ananiambia tubishane naye kuhusu mpira. instanbul kuja uchukue hii ng'ombe yako?

Kwa hivo Kenya ndio wachezaji wake muhimu walikuwa? Wacheni excuses buana. If you are a football nation then your reserve team should be able to beat our reserve team.

Wee enda ujifunze Taifa Stars ni nini ndio uje tuongee.
And who told you that Zanzibar is not part of Taifa stars? Mbona uko mjinga hivi ?
Huko Kenya hakuna hata mwenye akili mmoja ?
 
Back
Top Bottom