babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,270
- 35,680
From "Which Tanzania eliminated Kenya? 🤣🤣 When was that? 🤣🤣"Since then tumewapiga mara ngapi?
To "Since then tumewapiga mara ngapi"
Wewe ni certified nincompoop. 😂😂😂
From "Which Tanzania eliminated Kenya? 🤣🤣 When was that? 🤣🤣"Since then tumewapiga mara ngapi?
🤣🤣🤣From "Which Tanzania eliminated Kenya? 🤣🤣 When was that? 🤣🤣"
To "Since then tumewapiga mara ngapi"
Wewe ni certified nincompoop. 😂😂😂
Anazungumzia history. 🤣🤣🤣Which taifa stars have you played with hiyo December mate, are you hallucinating or something?
For now hamna uwezo wa kuifunga timu yoyote toka Tanzania. Whether a football club or senior national team . Mbeya city FC got more financial muscles and good players than goal mahiya
Ukute amejisahau anajiona Morocco ni timu yao! 😂😂😂Which taifa stars have you played with hiyo December mate, are you hallucinating or something?
Nani ameongelea December? Wacha bangi. Mnajiita footballing nation na hata hamjui game mmecheza. No wonder your stadiums were empty during CHAN.Which taifa stars have you played with hiyo December mate, are you hallucinating or something?
For now hamna uwezo wa kuifunga timu yoyote toka Tanzania. Whether a football club or senior national team . Mbeya city FC got more financial muscles and good players than goal mahiya
Wapi? Wenzako hawaogopi Waarabu.
View: https://www.instagram.com/p/DOEhMXJCbxw/?igsh=djlwY3F4ZGg4Y3F4
Nyie mtaletewa maendeleo na PLPL
njaaa kaka 😂😂😂😂Hivi kuna ugomvi gani kati ya Kunyaland na madirisha ya aluminum profile? Sijawahi kuona madirisha professional Kunyaland hata nyumba iwe na thamani kubwa kiasi gani lazima waweke madirisha ya welding 😁😁
This was not Taifa stars, unless you are hallucinating.Nani ameongelea December? Wacha bangi. Mnajiita footballing nation na hata hamjui game mmecheza. No wonder your stadiums were empty during CHAN.
View attachment 3463622
🤣 🤣 🤣This was not Taifa stars, unless you are hallucinating.
Unataka uwekezaji au shida Yako unachagua nani wa kuwa nyuma?shida sio kuingia PPP au shida sio waarabu shida ni nani yuko nyuma ya hzo PPP hapo ndio penye tatizo 😂😂😂😂😂
Kumbe Kilimanjaro stars ya mapinduzi cup siku hizi ni Taifa Stars! 😂😂😂Nani ameongelea December? Wacha bangi. Mnajiita footballing nation na hata hamjui game mmecheza. No wonder your stadiums were empty during CHAN.
View attachment 3463622
Unataka uwekezaji au shida Yako unachagua nani wa kuwa nyuma?
Wenzenu hawaogopi Waarabu.
View attachment 3463638
View: https://youtu.be/QdwXJb2InAg?feature=shared
Wawekezaji wakilipa Kodi ananufaika nani? Wewe na PLPL hamnufaiki? 😂😂shida sio maendeleo tu shida ni nani mnufaika number moja nani dalali wa hilo tukio hehehe najua ushanielewa 😂😂😂
Unataka uwekezaji au shida Yako unachagua nani wa kuwa nyuma?
Wenzenu hawaogopi Waarabu.
View attachment 3463638
View: https://youtu.be/QdwXJb2InAg?feature=shared
Wawekezaji wakilipa Kodi ananufaika nani? Wewe na PLPL hamnufaiki? 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DN5MwwxCJZE/?igsh=enJ2a3FmdDQ1d2Zl
Anyway mama hagombei 😂😂😂😂😂😂😂
Unataka pesa au unataka nani anatumwa? Nitafanya Mpango uwe unatumwa wewe 🤣🤣🤣wenzetu hawawatumi watoto wao kwenye madili kama haya ya serekali wakawe madalali hio ndio tofaut yetu na wao 😂😂
Unataka pesa au unataka nani anatumwa? Nitafanya Mpango uwe unatumwa wewe 🤣🤣🤣
Wenzenu hawaogopi Waarabu
View: https://www.instagram.com/p/Cuja1mXqLyZ/?igsh=YmJrbWJrbTRhb3Q5
Nyinyi mama yenu aliwaambia uchumi wa Tanzania unafanya vizuri hadi kushinda ulaya na marekani, lakini ya kenya ndo inakuwasha