Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Sadani-Pangani-Tanga umeishia wapi? Hapo kati niliona wameweka tena jiwe la msingi kwa mbwembwe,ujenzi umefikia wapi?
ichoboy01
so far sina any update ila kama ujenzi ungekua unaendelea lazma updates zingekuwepo siunajua awamu hii ilivokua na mbwembwe 😂😂😂😂😂 ungeona picha nyingi sana na sifa kibao
 
Bado Mkundustan atatoa fake data wanapokea watalii wengi kuliko Tanzania
Screenshot_20250831-185839.jpg
 
Wakiweka Nchi inayopokea flights Nyingi ( Zanzibar na Dar zitafanya Tanzania iwe na flights 176 na kumfukuza Mkundustan hiyo namba aliyopo na kudidimia Chini hadi eneo linalofanana na Jina lake 😂
Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
 
KIBAIGWA IMEITIKA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA​

on August 31, 2025
Nyie watu watano hamtusumbui haya kidogo. Sisi tunasonga mbele nyie unganeni na wakenya kututukana na kutudhalilisha watanzania.
View attachment 3459787

View attachment 3459789

View attachment 3459790
Ila wamesomba watu wengi sn mitaani, huku kwetu watu wamepewa elfu 20 kila mmoja na usafiri juu wa kwenda na kurudi ili ionekane uwanja umejaa, CCM wana ajenda mby na nchi yetu na wamechoka vby sn, hawana jipya, wanatumia rasilimali za taifa kwa mambo ya kipuuzi kabisa. Mbinu zao za 90s bado wanazitumia mpk leo.
 
Wakiweka Nchi inayopokea flights Nyingi ( Zanzibar na Dar zitafanya Tanzania iwe na flights 176 na kumfukuza Mkundustan hiyo namba aliyopo na kudidimia Chini hadi eneo linalofanana na Jina lake 😂
Vichaka vinazidi kufyekwa na kufanyiwa fumigation 😁😁😁 Hawa wapumbavu bila kufake data hawana tofauti na Malawi 😁😁
 
Si walisema hao mofat cjui nani nani watapewa route 1? Zen route nyingine wapewe wengine ili kupima performance? Iweje waanze kuchukua na route nyingine? Hapa kuna kitu hapa, mwishowe watachukua route zotee alafu yarudi yale yale.
Mofat route ya Mbagala. Kampuni ya Arabuni ni Kimara.

Wote wakianza kazi, UDART wanahamia Goms
 
Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
Kuna international flights zipi zinatumia Cessnas we gimbi?
 
Back
Top Bottom