Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! I think Boss you are in present zaidi.

My point ipo on whole scope kama nchi toka Kipindi cha Mzee until now.

Unless hukua ulingo wa siasa na umewakuta hao wenye kelele wapo right time ya huyu SAMIA

Hawa wananenda na MDUNDO ndio wazalendo.
 
Image
 
Hivi kweli hakukuwa na mtu mwingine wa kushindanishwa na Ridhwani pale Chalinze?
Sasa brother jimbo moja la Chalinze ndilo liwakilishe majimbo yote Tanzania?

Kaka acha wivu hizo ndizo siasa kaka. Hata huko kwa aanzilishi wa siasa mambo yapo hivyo Bill Clinton alikuwa president lakini baadae mke wake akawa 67th United States Secretary of State

Unalalamika bure tu bila hata ground
 
Heshima ya kura ni sehemu ya usalama wa nchi.

Leo usalama ukizorota hao kina Ridhiwani au nyie vijana wa CCM hamtaweza.

Vita yetu ya Kagera kila MTZ aliahiriki, na waganda walitoa ushirikiano kwetu kwasababu hawakumpenda Iddi Amini.
 
Wapi kura hazijaheshimiwa? Kumsema vibaya mwanasiasa mwenzako hizo nazo ni siasa kaka. Na haya uliyoyaandika ni siasa pia.

Mimi sijaona kosa la Ridhiwan
 
Kuwashawishi wapinzani wako wakaungana na wewe na kuacha kuchukua fomu ni siasa pia.

Siasa ni ushawishi
 
Wapi kura hazijaheshimiwa? Kumsema vibaya mwanasiasa mwenzako hizo nazo ni siasa kaka. Na haya uliyoyaandika ni siasa pia.

Mimi sijaona kosa la Ridhiwan
Mimi nimeshiriki.

Suala la kura kutokuwa na maana liko wazi.

Na hapa kwetu, mgombea wa CCM aliteuliwa alikuwa Barmaid na taswira yake kwenye jamii ni mbaya.

Huyo ndani ya miaka 5, hakuna mtu atakuwa anaenda kwenye mikutano yake.

WaTZ siyo violent, ila ni watu wanaogulia ndani tu.
 
Sasa brother jimbo moja la Chalinze ndilo liwakilishe majimbo yote Tanzania?

Kaka acha wivu hizo ndizo siasa kaka. Hata huko kwa aanzilishi wa siasa mambo yapo hivyo Bill Clinton alikuwa president lakini baadae mke wake akawa 67th United States Secretary of State

Unalalamika bure tu bila hata ground
Dah, haya kaka.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Amina.
 
Back
Top Bottom