Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1756644494919.png
 
Kuongeza ubusy wa JNIA serikali ikubali ku upgrade sadani national park,selou na mafia,ila nasikia serikali haitaki ili kulinda blue safari ya znz,halafu kwenye muungano utalii kila mtu kivyake
Hivi ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Sadani-Pangani-Tanga umeishia wapi? Hapo kati niliona wameweka tena jiwe la msingi kwa mbwembwe,ujenzi umefikia wapi?
ichoboy01
 
Mwamba huyu hapa anawakondesha wazembe na wasiolitakia mema Taifa letu. Unaumia sana kuona nchi inaongozwa na mwanamke. Nyie wahafidhina mnashida sana Kwikwikwikwikwi Taifa lipo salama

View attachment 3459827

View attachment 3459832

View attachment 3459836
Wacha ujinga. This is Nairobi vs Dar.. Not campaign material.
You are a one party state. We have nothing to learn from you... ZERO
Mko pale tulikuwa 1980.

In the whole world, bongolalas are the only people in love with their oppressors.
 
Wacha ujinga. This is Nairobi vs Dar.. Not campaign material.
You are a one party state. We have nothing to learn from you... ZERO
Mko pale tulikuwa 1980.

In the whole world, bongolalas are the only people in love with their oppressors.
Kwahiyo wewe unajipa cheo cha monitor wa JF? Stupid Kundudweller
 
Hiki ninachokiweka humu watu wengi sana kinawaumiza Adui wa Serikali ya Tanzania bado wapo hai. MUngu wa mbinguni atawapatia adhabu

1756646418955.png
 
Back
Top Bottom