Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku wakenya hawawezi kufika

Mpaka sasa mabasi ya Mwendokasi ambayo yamewasili Dar es salaam ni 250 kwa ajili ya ruti ya Mbagala. Kutakuwa na ruti za
Mbagala- Gerezani
Mbagala - Morocco
Mbagala- kivukoni

Mabasi haya mapya ya Mwendokasi yatakuwa na viyoyozi na Full WiFi

1756637474243.png
 
Jezi za yanga zinatengenezwa na kampuni gani ya michezo
MADUKA HAYA UTAPATA JEZI YA SIMBA REJAREJA - Kundustan Mtafika lini huku?

1. Magomeni Mikumi 👉@mr.punguzosports
2.Kawe 👉@maokoto_brands
3.Tandika 👉@asmajaphary
4.Tabata Maji Chumvi 👉@masacha_boutique
5.Kinyerezi👉 @joymavazi
6.Songwe 👉@chazy_fashion
7.Kariakoo 👉@nditto_simba
8.Mwenge 👉@almaina_shoespoint

Orodha ya maduka inaendelea itapostiwa tena hapa hapa Clouds

Endelea kuweka oda ya mzigo wa jumla kwenye maduka ya DAUDA STORE ili upate ofa hii ya matangazo bure[ Weka oda kwa @shaffihdauda_tz @dauda_sportsstore_sinza @daudasportstore_tabata @daudasports__ ]


View: https://www.instagram.com/p/DOAz3yTDDTD/


Kundustan itawachukua miaka mingi sana kufika huku


View: https://www.instagram.com/p/DOA2TUrDFAM/
 
Back
Top Bottom