Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kibaraka wa wazungu. Damu zilizomwagwa za dugu zetu kupamabana dhidi ya unyonyaji wa kikoloni leo hii unawatukana waafrika. Huenda wewe siyo mwafrika.

Umeniudhi sana kwa kutuna waafrika.
Acha kutafuta kichaka cha kujifichia,ukweli ndio huo,na shida inaanzia viongozi wa kiafrika kwao siasa ni ajira,ndio maana hata wanapofanya makosa awajiuzulu,na hata utakuta kiongozi anamuandaa mwanae aje kuwa kiongozi,demokrasi ya kweli hamna na ndio maana hawana hofu ya wapiga kura,hali hiyo ndio inafanya bara letu liwe kituko pa1 na rasilimali zote
 

View: https://x.com/dube_mthoko/status/1723433278403682556
Maku wivu upi tena,ww kwa ushamba wako ndio umeleta habari za rais wa fifa kuwepo ukidhania labda hajawahi kufika TZ,mimi nilichokifanya ni kukuonesha tu kama alishawahi kufika TZ,na alienda hadi kijiji cha michezo kigamboni,acha ushamba maku,infantino anajua hadi makolo walichezea goli 5 kwa Yanga 😂

We mbwa niwapi nimekumention au bongolala yeyote? Si ni wewe umejileta kwa post yangu ya Infantino akikagua Talanta Stadium, wewe na insecurities zako ukaleta za bongoslum as if hajawai tembelea nchi zingine za East Africa. 🤣 🤣 🤣
 
Teargass na wenzako tuambieni maandalizi ya final yakoje!!?? Nimecheka sana. Mnavyoongea kwenye social media.

Sijawahi kuona maandalizi mabovu kama haya yaliyofanyika Kenya. Sijui ni umaskini wao au Ushamba wao.
Unaumia sana bongolala. Tuliza kende zako. And just to remind you, maandalizi ya CHAN yalifanywa na CAF across the three hosting cities, your glorified fishing village included
 
Hapo sawa. Kumbuka Ummy alikuwa waziri aliyewekwa na huyo aliyekuwa anamuhujumu.

Angemshikia bango leo ummy angekuwa mfungwa kwa uhaini. Sema alisamehewa.
Akuna uhaini kwenye kusema "flani atoshi" or kama alivyosema Ndugai juu ya kukopa hovyo.
Hii ni kudisaprove uwezo wake kuwa hawezi, hafai, hatoshi; simple!
 
Basi hata viwe na maana.

Hivi vijana kama yule jamaa wa Songwe akiyechoma picha, Soka, Mdude wana madhara gani kwa taifa??

Tena yule jamaa wa picha yawezekana hata dishi lake halikuwa sawa.
Kuna akina Kambona walikimbia nchi wakati wa Nyerere. Huwezi ukamdharirisha mkuu wa nchi ukawa salama.

President ni nembo ya Taifa analindwa kwa wivu mkubwa. President is our national interest ndio maana vyombo vyote vya ulizi vinaapa kumlinda.

Ukilielewa hilo utajiepusha na kuwa pawn kwenye game ambayo siyo yako.
 
Acha kutafuta kichaka cha kujifichia,ukweli ndio huo,na shida inaanzia viongozi wa kiafrika kwao siasa ni ajira,ndio maana hata wanapofanya makosa awajiuzulu,na hata utakuta kiongozi anamuandaa mwanae aje kuwa kiongozi,demokrasi ya kweli hamna na ndio maana hawana hofu ya wapiga kura,hali hiyo ndio inafanya bara letu liwe kituko pa1 na rasilimali zote
Hakuna ukweli wowote. Ni ujinga unakusumbua tu.
 
We have successfully hosted the biggest football tournament finals after AFCON.

Image

Image

Image


Image


Image
 
Kaka hujui mambo ya security. Naomba niishie hapo. Kwanza ange achana na uwaziri kisha akasema hivyo akiwa nje ya serikali yake.
What is someone's thought/assumption of his boss's incompetency has anything to do with security?
At least ungeniambia swala la kiapo na sio security.
 
Back
Top Bottom