Kambona aliondoka mwenyewe na alirudi mwenyewe akaanzisha chama cha siasa.Kuna akina Kambona walikimbia nchi wakati wa Nyerere. Huwezi ukamdharirisha mkuu wa nchi ukawa salama.
Hakuwa hata majeraha ya risasi.
Rais analindwa kama anasimama maslahi na miongozo tuliyokubaliana kama kama taifa katika katiba na sheria.President ni nembo ya Taifa analindwa kwa wivu mkubwa. President is our national interest ndio maana vyombo vyote vya ulizi vinaapa kumlinda.
Ukilielewa hilo utajiepusha na kuwa pawn kwenye game ambayo siyo yako.
Siyo risasi.
Hakuna popote kwenye utaratibu wetu kuna ruhusa ya kuua watu ukijisikia.
VS
Unatoka kwenye THINK TANK kama hiyo unakaribisha wahindi na kugawa Diplomatic passport kama njugu kwamba ndio wazalendo.