Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD ya Tanga city. Hapa ni kwa akina baboonman aka Traveller D

View attachment 3570174
Glad nimezaliwa town. Get to see more of my hometown 👇🏾.. mwaiofhawaii jifunze kwetu wewe
IMG_3915.jpeg
IMG_3978.jpeg
IMG_3918.jpeg
IMG_3916.jpeg
IMG_3920.jpeg
 
Sure. Tanga na Moshi tunahitaji uwekezaji kidogo tu, tuzikimbize miji kama Arusha na Mwanza.
Actually nadhani msisahau reli ya Tanga-Moshi-Arusha nayo inahitajika! Tena kama ikienda mpaka Musoma! Kumbukeni mji kama wa Moshi kukua kwake kulianza na kulitegemea Usambara railway na pia jiji la Tanga lilitegema bandari, reli na kilimo cha mkonge! Ambavyo vyote tunaviona vikipata attention.
 
LILE BOMBA LA m7 likianza kazi na akishakabidhiwa tanga port expect tanga kua magic
Bomba la mafuta limeamsha uchumi kiasi pale, wachina wamekua wengi, new apartments buildings zinajengwa, restaurants, shopping complexes.. Bandari wakiiongeza itakua balaa, nimeskia lengo lao ni kujenga SGR kaskazini tujitegemee wenyewe kwasababu tunayo bandari ni kuiongeza tu. In the near future Tanga, Moshi, Arusha & Manyara itakua ni zone ya uchumi inayoweza kujiendesha bila Dar considering the fact that tunayo international airport KIA.
 
Back
Top Bottom