Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unataka kusema Mtanzania anaweza jilinganisha na Mkenya kwa kutembea ama Nini. 😂😂 Naweza nikakuita chizi kwa hilo. Wewe ndio utoke Tandale utembee.
Kenya mnaotembea wachache sana usitake kubisha.
Wengi hamutembei na hamuna exposure ya nje ya Kenya.
Hata mitandaoni huko hilo mnalionesha.
 
kagoma atakula umeme yani ni wale no 6 wakizamani yeye muda wote anaingia uvunguni bila tahadhari atakula umeme muda si mrefu yani kama ndio no 6 simba wanaitegemea huyu atawa cost sana
Mzee hatuna kocha,pale kwenye benchi la ufundi kuna wahamasishaji ndo ulitegemea tumfunge morocco!
 
Kweli unayosema but hizi slums zinapenya tu 6% of the city.na hii hali inabadilishwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa mwanchi wa kawaidi.

Lakini hali dar inatisha aisee,sorry your city is a big mess,,serikali inafaa ingilie kati kutatua or you would end like lagos,,you are almost there

View: https://www.facebook.com/share/v/19R1jUitTE/

3 million people concentrated in only 6% of Naipori 🤣🤣🤣
 
Sidhani kama umetazama hio video nimekuwekea bro,hizo nyumba for most part ziko sawa lakini they are chaotic,almost zero infrastructure like roads achilia mbali sewage na maji.hapo serikali imelegeza kamba,sio mtihani kuwa na mpangilio.
Hapo Airport kuna eneo la viwanda, godowns na informal settlements.

Nadhani huoni nyumba za mabati hapo.
 
Sidhani kama umetazama hio video nimekuwekea bro,hizo nyumba for most part ziko sawa lakini they are chaotic,almost zero infrastructure like roads achilia mbali sewage na maji.hapo serikali imelegeza kamba,sio mtihani kuwa na mpangilio.
Kuna siku nimepita sehemu fulani nimaona .makaburi ya wakoloni. Yale makaburi yamenyooka na yanalinganq kila kitu. Nikakumbuka jinsi makaburi maarufu ya kinondoni yalivyo vuluvulu. Nikajisemea kama kupanga makaburi kumetushinda nyumba je?
Asilimia kubwa ya sehemu zilizopangwa Dar zilipangwa na mkoloni,miji mipya yetu wenyewe ni aibu! Hivi kweli hata kuweka nyumba or at least viwanja kwenye mstari ni ngumu sana?! Watu wanajenga nyumba nzuri bila mpangilio wtf@
 
Nikisema hujui mpira nitakua nimekosea!?
Yale yale narudia hapa.
Kenya mlikamia mechi mkamfunga Morocco kwa bahati.
Hamkumfunga Morocco kwa ufundi.
Kwa namna ambavyo mlijitapa kumfunga Morocco basi Madagascar ambaye mlimsema mwepesi alitakiwa ale goli zaidi ya mbili.
Ila Kenya mpira hamuna Madagascar aliwazidi mbinu na kila kitu.
Haukutakiwa kutolewa na Madagascar timu ambayo iko chini sana kiviwango.
Morocco mliwabahatisha.
Haya ni maneno ya mkosaji. Hiyo Madagascar kwanza imebebwa na refa. With a good referee tungewapiga 2-0.Anyway, hakunanga excuses kwa mpira. The point is, Mlipiga Madagascar naye akatuchapa. Tulipiga Morocco naye akamchapa. Hizi zingine ni story za jaba. Ndio maana huwa nakwambia wewe ni mgumu kukubali ukweli.
 
Vipi mke nyumbani? Wasemaje?
1000064509.jpg
 
Haya ni maneno ya mkosaji. Hiyo Madagascar kwanza imebebwa na refa. With a good referee tungewapiga 2-0.Anyway, hakunanga excuses kwa mpira. The point is, Mlipiga Madagascar naye akatuchapa. Tulipiga Morocco naye akamchapa. Hizi zingine ni story za jaba. Ndio maana huwa nakwambia wewe ni mgumu kukubali ukweli.
Shida mkielezwa uhalisia mnasema mie mgumu kukubali ukweli.
Una consistency ya kumfunga Morocco?
Jibu HAPANA hauna.
Sisi tuna consistency ya kumfunga Madagascar hadi sasa.
Kubalini hamkuwa na timu bora msisingizie kuonewa na refa.
 
Kenya mnaotembea wachache sana usitake kubisha.
Wengi hamutembei na hamuna exposure ya nje ya Kenya.
Hata mitandaoni huko hilo mnalionesha.
Angalia tu travel statistics utapata jibu. Angalia foreign remittances utapata jibu. Angalia tourism numbers from East African countries utapata jibu. Angalia number of Kenyans in other countries vs Tanzanians utapata jibu. Wewe mwenyewe hujawai toka Tanzania unataka kutuelimisha kuhusu travel?
 
Back
Top Bottom