Fala wewe mpira nilitizama hamkucheza kiufundi.Kama uliona mpira utajua kwamba Harambee stars timu kubwa sana, vijana walicheza kujituma sema luck haikuwa upande wetu.
Embu ungetizama mpira wa Morocco vs Tanzania,hao Morocco wameshinda ila walijuta kucheza mpira.