Naona mmeshachoka hoiUchukue Kocha kwa mbinu gani?
Wachezaji wameambiwa watapata 1M wanajituma kama punda.
Zero talents
Zero tactics
Just motivation, and hunger
Kipa tunaeHalafu huyu YUSUF KAGOMA embu wamtoe. Atatusababishia kadi nyekundu muda si mrefu.
Anatumia sana nguvu.
Kipa anajitahidi sana.Kipa tunae
Nawaona manyang'au yamebinya makende😂Kipa anajitahidi sana.
Mzize naye alitukosesha magoli mawili ya wazi.
Kuna muda anakosaga umakini.
Morocco hawa tukikaza tunawatoa.
Fainali inahamiswa Dar, CAF hawawezi kubali kutiwa aibu vile. Wanatia aibu Africa nzimayes taa zao ovyo kabisa alaf pitch pia mbovu 😂😂😂😂😂
Hapa na mimi nipo Nikifurahia Kunyan kutoka
Japo Siiamini Timu yangu.
Ila Roho Kwaaatu mbwa hawa Kutolewa
View: https://www.instagram.com/reel/DNqj5xws2NT/?igsh=Z2FkNGw2amZ1enRq
Kuleni mabao pole pole😂😂😭😭
Kuleni mabao pole pole😂😂😭😭
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1958959346811117749?t=m92p_Zx8cdwtsRoSID7HTA&s=19
Ni aibu kufunga normal time 😂😂😭
Muambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. 😂😂😂😂
Bia za 50 bob😭😂😂Muambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. 😂😂😂😂
View attachment 3449489