Ya kale hayanuki.Vipi mke nyumbani? Wasemaje?View attachment 3450031
Kenya ya ngapi kwa Fifa rank!?
Ya kale hayanuki.Vipi mke nyumbani? Wasemaje?View attachment 3450031
Nakubali SIJAWAHI kutoka Tanzania.Angalia tu travel statistics utapata jibu. Angalia foreign remittances utapata jibu. Angalia tourism numbers from East African countries utapata jibu. Angalia number of Kenyans in other countries vs Tanzanians utapata jibu. Wewe mwenyewe hujawai toka Tanzania unataka kutuelimisha kuhusu travel?
Hivi, husikii harufu ikinuka?Ya kale hayanuki.
Kenya ya ngapi kwa Fifa rank!?
Kenya wangapi kwa Fifa rank!?Hivi, husikii harufu ikinuka?
Why are you drowning the discussion in endless tangents simply to dodge the point? You boasted superiority on the basis that you beat Madagascar, who in turn beat us. By that same logic, I countered that we are superior to you, since we defeated Morocco, who in turn defeated you. Yet instead of addressing this, you scramble for a new distraction with every reply. It only exposes you as a remarkably inept debater.Shida mkielezwa uhalisia mnasema mie mgumu kukubali ukweli.
Una consistency ya kumfunga Morocco?
Jibu HAPANA hauna.
Sisi tuna consistency ya kumfunga Madagascar hadi sasa.
Kubalini hamkuwa na timu bora msisingizie kuonewa na refa.
Shida yenu nikukariri upuzi mnaolishwa na wanasiasa wenu. Mtafute Mtanzania aliyetembea akueleze hata utajidharau. Kwa sector ya kuzuru you are not even close to us bro. Uganda is even ahead of you. Kenya is way ahead of both of you. Hata ukiweka Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja bado hamguzi Kenya. This is a battle you don't even want to engage. Shida yako hujatembea halafu unataka mijadala ya matembezi.Nakubali SIJAWAHI kutoka Tanzania.
Ila Kenya mnaotembea ni wachache.
Tanzania wengi wanaopenda nje ni kama wafanyabiashara sio kama mahousegirl wa Kenya mnaoenda kutafuta Remittance uarabuni.
Many villages where? Kutembelea East na coastal side ya Tz ndo umeconclude haraka.I never said all your villages are like that but I have seen many villages in Tanzania like that - something you won't find in Kenya.
Endelea na ubishi hivyo hivyo.Shida yenu nikukariri upuzi mnaolishwa na wanasiasa wenu. Mtafute Mtanzania aliyetembea akueleze hata utajidharau. Kwa sector ya kuzuru you are not even close to us bro. Uganda is even ahead of you. Kenya is way ahead of both of you. Hata ukiweka Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja bado hamguzi Kenya. This is a battle you don't even want to engage. Shida yako hujatembea halafu unataka mijadala ya matembezi.
Unafahamu maana ya consistency?Why are you drowning the discussion in endless tangents simply to dodge the point? You boasted superiority on the basis that you beat Madagascar, who in turn beat us. By that same logic, I countered that we are superior to you, since we defeated Morocco, who in turn defeated you. Yet instead of addressing this, you scramble for a new distraction with every reply. It only exposes you as a remarkably inept debater.
Anyway, Morocco hatujacheza naye sana kwa hivo consistency itatokea wapi? Morocco tumecheza naye games nne. Mbili ametupiga, moja tumempiga, moja draw. Anyway, tukienda kwa historia wacha nikukumbushe kitu kimoja.
View attachment 3450033
Remmittances ni ushahidi kuwa Kenya hakukaliki. Just like Nigeria, Somalia, DRC.Angalia tu travel statistics utapata jibu. Angalia foreign remittances utapata jibu. Angalia tourism numbers from East African countries utapata jibu. Angalia number of Kenyans in other countries vs Tanzanians utapata jibu. Wewe mwenyewe hujawai toka Tanzania unataka kutuelimisha kuhusu travel?
Nilijua naongea na mjinga ila sikujua ni mjinga kiasi hiki. Hivi wewe unaufuatilia mpira? Hivi hujui tumewapiga this year January tena kwenu?Unafahamu maana ya consistency?
Tuna miaka mingapi Kenya na Tanzania hatujakutana!?
Tuna zaidi ya miaka mitatu Kenya na Tanzania hatujakutana.
Unaweza kuleta consistency baina ya Kenya na Tanzania!?
Kumbe we ni fala!?
Kuongea kiingereza kingi haimaanishi unajua. Umeongea pumba tupu.
Kubali tu Kenya umembahatisha Morocco.
Ungekua kweli wewe una ubora basi ungemfunga Madagascar.
Acha ujinga kwenye last edition ya CHAN Madagascar alifika semi final nyie mlifika wapi. Kama uliangalia mechi Madagascar was a more compact side na ilicheza mpira wa kitabu nyie sasa kukimbiakimbia hovyo na kutumia nguvu za ugali na hata hivyo kuna muda mlikata pumzi. The only downside ya Madagascar was forward line yao ilikuwa haiko vizuri.Haya ni maneno ya mkosaji. Hiyo Madagascar kwanza imebebwa na refa. With a good referee tungewapiga 2-0.Anyway, hakunanga excuses kwa mpira. The point is, Mlipiga Madagascar naye akatuchapa. Tulipiga Morocco naye akamchapa. Hizi zingine ni story za jaba. Ndio maana huwa nakwambia wewe ni mgumu kukubali ukweli.
There are more Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania FYI. Tofauti sisi tunakuja huko either kukodisha mashamba tulime, kufanya biashara ama kufanya professional jobs kama uhandisi, ualimu n.k. Nyie mnakuja huku either kuombaomba, kufanya kazi za uhousegirl, kusoma ama kuwa hawkers pale Gikomba. Unategemeaje remittances za kutoka huku ziwe kubwa kuliko kutoka kwenu wakati hamfanyi cha maana huku?Remmittances ni ushahidi kuwa Kenya hakukaliki. Just like Nigeria, Somalia, DRC.
Watu kila siku wanawaza kukimbia.
Ndio maana. Hata remmitance kubwa mnatoa TZ.
Sasa last edition ya CHAN inahusikanaje na game ya jana? Ndio maana nikakwambia juzi that trying to impact knowledge to you is tantamount to casting pearls before swine.Acha ujinga kwenye last edition ya CHAN Madagascar alifika semi final nyie mlifika wapi. Kama uliangalia mechi Madagascar was a more compact side na ilicheza mpira wa kitabu nyie sasa kukimbiakimbia hovyo na kutumia nguvu za ugali na hata hivyo kuna muda mlikata pumzi. The only downside ya Madagascar was forward line yao ilikuwa haiko vizuri.
We kumbe ni MKUNDU!?Nilijua naongea na mjinga ila sikujua ni mjinga kiasi hiki. Hivi wewe unaufuatilia mpira? Hivi hujui tumewapiga this year January tena kwenu?
Si wewe ndio umeleta mambo ya historia? You're a very interesting fellow. Unabadilisha mjadala mwenyewe alafu nikishaenda na huo mjadala wako unabadili tena eti that line of argument is not valid. Ulipoingiza mambo ya historia hukujua hatujacheza na Tanzania for sometime? Alafu hujioni mnafiki kusema mna uzoefu wa kuipiga Madagascar wakati you beat Madagascar in 2021 yet unasema hatujacheza nanyi for a long time yet tulimpiga mwisho this year January?
Furthermore, hiyo Madagascar unayosema mna uzoefu wa kuipiga kumbe wamekuwa wame zenu kihistoria. Yani unapayuka tu, information huna na hutafuti. 🤣 🤣
View attachment 3450064
Shida kubwa ya Wakenya ni DUMBEST people I have ever seen.There are more Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania FYI. Tofauti sisi tunakuja huko either kukodisha mashamba tulime, kufanya biashara ama kufanya professional jobs kama uhandisi, ualimu n.k. Nyie mnakuja huku either kuombaomba, kufanya kazi za uhousegirl, kusoma ama kuwa hawkers pale Gikomba. Unategemeaje remittances za kutoka huku ziwe kubwa kuliko kutoka kwenu wakati hamfanyi cha maana huku?