Inavyosambaa kivipi bro?Mimi hata siongelei tandale,manzese ama slums.
Naongelea kuhusu Dar inavyoo sambaa bila mpangilio.
Roho mbaya zinawasumbuaWakenya wangekuwa na nguvu kijeshi, haki wangevamia Tanzania. Kwa sasa wanabweka tu kama mbwa koko
Eti wataweka umeme ile yao. Leo nimeangalia huu umeme nikasema huyo kichaa anaetaka kuweka umeme ni afadhali ajenge upya.Hakuna kitu inawauma nyangau kama hizi chuma za umeme na infrastructure yake.
Hata wakiweka umeme bado hawataweza tembea kwa spidi tajwaEti wataweka umeme ile yao. Leo nimeangalia huu umeme nikasema huyo kichaa anaetaka kuweka umeme ni afadhali ajenge upya.
Kuna nini huko tena?
ImetapikaNaiona mkapa iko full
Wakenya wameijaza.Naiona mkapa iko full
Sema deleted buana, kwani si Leo walikuwa full,🤣🤣🤣Eliminated 😄😄😄