game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
I see it looks asymmetrical,Daily dose
![]()
I see it looks asymmetrical,Daily dose
![]()
Sawa Mtombwe. Unaijua Kenya kunishinda.Which Kenya are you talking about?
Shida hamtembei hata Kenya.
Villages za Kenya hizi za Tana River, Lamu, Kilifi, Mombasa, Malindi, ???
How's the going now? 🤣 🤣 🤣So far the 1st half stats
View attachment 3449068
Tayari mmewapulizia ChloroformHow's the going now? 🤣 🤣 🤣
You know something called optical illusion? You see that ring around the stadium? It is the curtain walling that also acts as the roof structural support. It is incomplete on one side and creates an optical illusion that gives the stadium an aymetrical shape. Satisfied?I see it looks asymmetrical,
Hakuna kitu kama hicho kwasababu mimi nipo kwa hii industry kwa ukubwa sanaTukiwaambia all those farms products coming to Kenya are farmed by Kenyans in Tanzania hakuwa mnaamini.
Sasa unaona vile mnalia after kugundua?😂😂🤣.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hujui there is a Hiace assembly line pale AVA Mombasa? Nyinyi endeleeni kushangilia imports, no wonder hamuezitoka LDC.
Tatizo injini zake zinakufa chapuKaka Shackman nazikubali sana. Tupo nazo huku kwenye migodi, zinanguvu balaa. Zinatoka kwenye pit kwa speed kama zipo kwenye mteremko
WWako mbele miaka 50 hao.
Ruto lazima amwage pesa mingi sana maana ni mileage yake kisiasa. Lakini wakivuka huku watajua hawajuihuyu refa kachukua pesa huyu inamaana haoni faulo za madagascar hehe Africa🙌🏻
Limerudi 🤣 🤣 🤣 🤣 Chloroform imeisha kwenye vichwa.huyu refa kachukua pesa huyu inamaana haoni faulo za madagascar hehe Africa🙌🏻
Seems. Kuzaliwa Tanzania unakuwa mjinga tu naturallyHaya turudi kwa mada sasa. Show us sidewalks hapa 👇
View attachment 3448939
Yan hao jamaa tukipiga hatua flan wanaona tunashindana nao,wana wivu wa kijinga sanaNilifikiri tiwagesi ndio pumbavu kuliko wote kumbe wapo zaidi yake.
Dunia hii wajinga wote wapo eneo lililopitiwa na equatorSeems. Kuzaliwa Tanzania unakuwa mjinga tu naturally
That's an interchange walkway inapita huko juuuu ikifuata loop lane back to service lane.
Wakenya wangekuwa na nguvu kijeshi, haki wangevamia Tanzania. Kwa sasa wanabweka tu kama mbwa kokoYan hao jamaa tukipiga hatua flan wanaona tunashindana nao,wana wivu wa kijinga sana